Habari wakuu
Ninafikiria kuanzisha biashara ya vinywaji vya jumla (Soft Drinks) hapa Tabata kinyerezi Dar Es Salaam na kwa kuanza nataka kuanza na maji ya kunywa ya jumla. Sasa kama ilivyo kwa biashara zingine, ningependa nipate ushauri na maoni kutoka kwa wadau wa ujasiriamali na hasa wale...
Kwa wale wenzangu mlioomba nafasi za kazi Tanzania Mayors Award pale Association of Local Authorities of Tanzania (ALAT) je kuna yeyote aliyeitwa kwa interview.!?
Hawa jamaa wa Brightermonday na Zoom ni wapuuzi sana... waliwahi kunipotosha kwenye kazi za DANGOTE... mie nikajiaminisha kwamba muda wa kuomba bado upo kumbe tangazo limeshaexpire kitambo sana. Ni mtandao wa hovyo sana.
Mimi binafsi nimewahi kuitwa MeTL kuanza kazi, nikaambiwa nitaanza na mshahara wa laki tatu kwa kipindi cha miaka mitatu kwa sababu niko chini ya uangalizi wa mafunzo kazini maana ndio nilikuwa nimemaliza chuo. Nikaona huu ni upuuzi, nikaachana nao.
Mkuu baadhi ya hizi NGO ni kichefuchefu na upuuzi mtupu. Kwa mfano mimi nilifanya application pale IMA World Health, lakini kitu cha ajabu nikapigiwa simu na mtu anayejitambulisha kama HR akaniambia wanataka maji ya kunywa, kwahiyo niwatumie laki moja ili niitwe kwenye interview. Nikaona hawa...
Najiuliza hawa jamaa ZOOMTANZANIA huwa wanatangaza hizi ajira wanazitoa wapi... maana ajira zingine wanazozitangaza hazina source na hata ukifuatilia kwa wahusika zinakuwa hazipo. Mf kwa sasa wametangaza ajira za dangote lakini sijaona kwingine zilikoonyeshwa na pia hakuna maelezo mazuri hata ya...
Habari zenu wadau... nafikiria kuanzisha biashara ya buchery ya nyama na samaki wa maji baridi hapa Dar Es Salaam. Mpango ni kuwatoa samaki mwanza na kuwaleta hapa Dar es salaam. Tafadhali mwenye dondoo na uzoefu wa biashara hii anisaidie tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.