GOLIATHI 2
Member
- Apr 2, 2014
- 12
- 14
Habari zenu wadau... nafikiria kuanzisha biashara ya buchery ya nyama na samaki wa maji baridi hapa Dar Es Salaam. Mpango ni kuwatoa samaki mwanza na kuwaleta hapa Dar es salaam. Tafadhali mwenye dondoo na uzoefu wa biashara hii anisaidie tafadhali.