Mishahara ya MeTL

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Habari zenu wadau? Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko ya watu kuhusu Wahindi MeTL wakiwemo, malalamiko haya ni kuhusu mishahara midogo na kutoheshimu proffession. Nimeshuhudia injinia akianza na mshahara wa laki tatu, vilevile kuna jamaa alikuwa upande wa sales na ameacha. Jamani anayewafahamu vizuri hawa MeTL, level ya degree ni Tsh. ngapi? Au huwa inategemea na bargaining ya mtu husika?
 
lakini mbona mkurugenzi wa MeTL, ambaye ni mbunge wa singida kawapa walimu Tsh 50000/= kila aliyehudhuria mahali alipowaita kiingilio cha kugaiwa hizo fedha ni kuvaa T shirt ya Mo. Sasa inakuaje awanyonye watumishi wake wanaomwezesha kuindeleza kampuni yake?
 
wanadai East Coast ambayo ipo chin ya Mo ina uafadhali, ila hawa wa vingunguti<sikumbuk wanaitwaje> ni matatizo matupu.
 
Mimi binafsi nimewahi kuitwa MeTL kuanza kazi, nikaambiwa nitaanza na mshahara wa laki tatu kwa kipindi cha miaka mitatu kwa sababu niko chini ya uangalizi wa mafunzo kazini maana ndio nilikuwa nimemaliza chuo. Nikaona huu ni upuuzi, nikaachana nao.
 
Back
Top Bottom