Recent content by goldentz

  1. goldentz

    Nisikilize: Mkeo si ndugu yako

    Katika hii Dunia usije kuamini hata kivuli chako
  2. goldentz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwamba wachezaji wengine wote amesajikiwa Hahaha Habari za vijiwen
  3. goldentz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwamba Martinez na Anthony hawakuwa chaguo la Ten Hag au sio
  4. goldentz

    Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Hujui kuwa TPBL ni entity Huru. Wajumbe wa bodi ya ligi ni viongozi wa club zetu au hujui Hilo. Kanuni zote za ligi hupitishwa na viongozi wa timu zote waliomo kwenye bodi ya ligi. Wewe umeona Kuna club hata Moja imepinga hiki ulichoandika?
  5. goldentz

    Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Hizo kanuni ziko chino ya bodi ya ligi sio TFF.
  6. goldentz

    Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    Mkuu running costs zake zikoje Shusha gharama za kuwahudumia hao ng'ombe wa5 Kwa mwezi.
  7. goldentz

    MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Mikopo ni trap HUWEZ kutoka boss. Na Kuna mikopo haiwez kuisha.
  8. goldentz

    MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Ndio maana nikataka hayo maswali unajibu wewe. Kwamba mikopo yetu tanzania ipo in USD na inabidi tuihudumie in USD. Je uhaba wa Dola utaathiri vipi sisi kama nchi kuhudumia mikopo yetu ? Kusema kweli Sina jibu. Hivyo basi badala ya kuwaza namna ya kuachana na Dola naomba nijibiwe Hilo...
  9. goldentz

    MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Bro unadhani US reserve bank wamefanya hivyo Kwa Bahati mbaya ?
  10. goldentz

    MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Naomba unijibu wewe Utahudumia vipi mikopo yako ya kimataifa ya world bank ambayo in USD. Kumbuka huko world bank USA ndio major shareholder. Hivyo naomba uniambie utahudumia vipi mikopo yako Ambayo unapaswa kuilipa Kila mwezi in USD. Tuachane kwanza na hizo international business
  11. goldentz

    MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Mkuu sio rahisi itashuka lakini itachukua years and years. Asante
  12. goldentz

    MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Kwa mfano tanzania alichukuwa mkopo wa USD bilion 1 Ambayo ni sawa na tsh trilion 2+ kutoka bank ya Export Credit Agencies ya Denmark na Sweden. Huu mkopo utarudishwa in USD miaka na miaka. Sasa Huwa nashindwa kuelewa mtu anasema tanzania inabidi iachane na Dola wakati ana mzigo wa madeni...
Back
Top Bottom