Recent content by goldensylva

  1. goldensylva

    Uvunaji wa mafuta na gesi katika kisiwa cha Lathan umepata ridhaa ya Zanzibar?

    Mafuta na Gesi si suala la Muungano. Kwa maana hiyo TPDC (custodian wa mafuta na gesi) si shirika la Muungano. Shell na Petrobras wanatumia model production sharing contracts za TPDC ( sina hakika kama Wizara ya Nishati Zanzibar wana hizo contracts). Kwa argument hizo, ni wazi Shell na Petrobras...
  2. goldensylva

    Magufuli na Museveni mshawishini sudan kusini wajenge bomba la mafuta kuelekea uganda

    Kinadharia ni wazo zuri lakini kiuchumi je? Total na wabia wenzake wanawekeza kwa mradi na tayari wameshasema uwezo wa bomba ni kusafirisha mapipa laki mbili kwa siku. Bomba lina kipenyo cha karibu nusu mita (inch 24)....ni bomba dogo. Ukileta bomba la Sudani Kusini maana yake linatakiwa kuwa...
  3. goldensylva

    Matarajio ya Ugunduzi wa Mafuta Tanzania: Swala Oil and Gas Tanzania

    Taarifa yao iliyotolewa leo March 15 inaonyesha kuongezeka kwa kiasi cha akiba ya mafuta itakayopatikana (endapo watafanikiwa) katika kitalu chao cha Kilombero.Hii imekuja baada ya taarifa za kitaalamu za awali kuonyesha eneo la Kilombero lina tabia za kufanana na sehemu yalipopatikana mafuta...
  4. goldensylva

    Kampuni ya mafuta ya Total kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Tanzania hadi Uganda

    Kwa hili, Tanzania ni kama imeokota dodo kwenye muarobaini. Ni mradi mkubwa na effect yake kwa uchumi itaonekana. Sidhani hata Wizara ya Nishati au TPDC waliuweka kwenye mipango yao ya 2 years (say)...unbeliavable how things can make a U-turn pretty fast
  5. goldensylva

    Gesi ya ujazo wa futi Trilioni 2.17 yagundulika Bonde la Mto Ruvu

    Mkuu hizo hesabu sio sahihi. Kwanza, yapaswa ujue bei ya natural gas ina-vary sana, haiko fixed ( kama bei ya mafuta ). Kuna sababu nyingi za ku-vary mojawapo ni geographic conditions (December ni winter Marekani) na ina tabia ya kufuata bei ya mafuta. Vile vile natural gas inapimwa kwa nishati...
  6. goldensylva

    Gesi ya ujazo wa futi Trilioni 2.17 yagundulika Bonde la Mto Ruvu

    Next ni development of resources...interesting area of discovery kwa sababu moja, ni karibu na Dar es Salaam, hii inaifanya inaleta maswali kwa miradi ya kuleta gesi Dar kutoka Mtwara( Sipingi uamuzi ), pili ni mbali na Mtwara/Lindi kwa maana ya kuunganisha na makampuni mengine kwa mradi wa gesi...
  7. goldensylva

    Mkataba wa kifisadi wa GESI kati ya Serikali na Kampuni ya STATOIL ya Norway

    Hii habari ni ya mwaka JUZI. Nakumbuka Zitto alishaipigia kelele sana na Serikali kupitia TPDC wakajibu. Sina hakika kama mkuu uliyeanzisha uzi ulifuatilia hili kabla. Link ya Zitto ni hii Tanzania to lose up to $1b under StatOil PSA: Open these Oil and Gas Contracts na serikali wakajibu hapa...
  8. goldensylva

    Waziri muhongo aitaka TPDC na wabia kuongeza kasi katika uwekezaji wa kiwanda cha gesi kimiminika

    Kwa mradi mkubwa kama huo, ambao major stakeholders ni makampuni makubwa ya mafuta na gesi duniani, lazima wana mpango kabambe na kasi ya kuuendeleza ni priority namba moja. Anachosema Waziri ni kama kocha wa Barcelona kumwambia Messi aongeze kasi akifika goli kwenye 18 ya Arsenal
  9. goldensylva

    Gesi ya Tanzania yaweza kuwatosheleza Waingereza kwa miaka ishirini

    Uko sahihi kwa maana ya definition but SI KWELI recoverable gas ni 55tcf. According to TPDC total initial gas in place (GIIP) ni 55tcf. Na pia, ungekua mtu wa industry ungeelewa kwamba announcement hufanyika mara tu baada ya discovery. Economics za recovery kwa offshore gas (almost 47tcf) bado...
  10. goldensylva

    Gesi ya Tanzania yaweza kuwatosheleza Waingereza kwa miaka ishirini

    Hapo wamefanya comparison tu. Haina maana hiyo gesi yote itaenda UK. Hata hivyo pia sio sahihi, si kiasi chote (ujazo) kitaweza kuvunwa. Kitakachovunwa kitakua kidogo ya 55tcf
  11. goldensylva

    Hapa kwenye Gesi Asilia, Serikali imetuuza tena kama Madini, Raisi Magu Tafadhali!

    Kwa mujibu wa sheria wa petroli ya mwaka jana, TPDC ana participating interest ya kila mkataba. Sina hakika kama kabla ya sheria mikataba yote iko hivyo. Lakini pia, TPDC wana vitalu viwili reserved just for them to develop. Hilo litawajenga sasa kuwa operators na siyo kama sasa ambapo ni...
  12. goldensylva

    Hapa kwenye Gesi Asilia, Serikali imetuuza tena kama Madini, Raisi Magu Tafadhali!

    Wasiwasi wako ni wa kawaida hasa kwa kitu ambacho unakifahamu lakini hujapata nafasi ya kufuatilia kwa karibu. Angalau eneo hili nalielewa kwa kiasi chake. Hoja ya makampuni ya nje kutuibia nimekujibu, auditing will do. Statoil, Petrobras na Shell sio 100% government owned, na zimefanikiwa baada...
  13. goldensylva

    Hapa kwenye Gesi Asilia, Serikali imetuuza tena kama Madini, Raisi Magu Tafadhali!

    I beg to differ. Kupata mwanga wa hoja yako ni lazima upitie na kuelewa "fiscal terms za model production sharing agreements" Nadhani zipo kwenye website ya TPDC. Cost recovery mara nyingi huwa ni challenge kwa nchi nyingi, but regular auditing ya Serikali either kupitia TPDC au MEM inaondoa...
  14. goldensylva

    Tanzania finalises land deal for delayed LNG project

    30B dollars ni approximate project cost ya ujenzi wa liquefaction plants. Total project cost inaweza kuwa zaidi probably up to 45B kwa maana ya kazi za upstream na kusafirisha gesi mpaka onshore kwenye plants. Gharama zitaenda wapi ni wazi a big chunk zitalipwa kwa kununua teknolojia ,makampuni...
  15. goldensylva

    Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

    Apparently Muhongo kajibu Bungeni hoja za bandiko hili few minutes ago. Still anakaribisha wawekezaji na ameongeza kuwa miradi ya uzalishaji na uboreshaji wa miundombinu ya umeme inaendelea.
Back
Top Bottom