Habari za muda wakuu. Natambua uwepo wa wataalam katika eneo hili.
Nataka niuze kitabu changu kwa njia ya softcopy. Naombeni kujua namna sahihi na site salama kwa ajili ya mauzo hayo ya online
Hii kwa wenzetu angalau nchi za ulaya wameweza. Suasa sio ajira kwao. Ni sehemu ya utumishi wa umma ambapo mtumishi tayari ana maisha yake nje ya siasa. Ndio maana inakuwa kwao rahisi kusikia Waziri Mkuu kajiuzulu.
Ni kwa kuwa mifumo yao imeshajinenga kwamba ukiingia kwenye siasa basi isiwe...
Kuna hela za kuheshimu kama. Za kina Mzee Mengi, Mo, Bakhresa, etc. Hizo ni za utafutaji kweli. Za madini ni suala lingine. Ni za ujasiri zaidi na sio kitaaluma
Ndoto ni kitu cha ajabu sana. Nimeota tunaishi katika dunia mbayo uhalisia haupo tena. Kwamba haya matumizi ya AI sio virtual pekee. Bali uhalisia kabisa. Tutaishi katika dunia ya PROMPTING. Cloning inakuja. Itakuwa ni ngumu kumtambua binafamu halisi na feki. Tunayoyaona kwenye filamu tutaishi...
Sema nikiwa, sio tukiwa. Kwanza ujue %90 ya watoto (pamoja na wewe) ni ajali tu za kingono iwe ndani au nje ya ndoa. Mnapoanza kupanga na uzazi unajificha
Bahati mbaya inaonekana wewe ndio unadhibiti hayo mahusiano. Huyo bwana (sio mume) wako ni fuata upepo. Au la wewe ni kiraka katika ndoa ya mtu haiondoi ukweli wa kuwa mchepuko
Kama ni mwanamke, wewe ni kiraka tu. Mchepuko. Kama ni mwanaume, wewe ni buzi tu. Coward. Huna sababu ya kuigiza maisha wanayoishi wanandoa halali. Badala ya kuwaza future na umoja na familia wewe unawaza ubinafsi na mali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.