Mwanaume usijikite sana kwenye mapenzi, saka hela kwanza na kujiekeza. Usipoteze muda mwingi kutafuta mapenzi, utaumia, aliye na uwezo kuliko na atakunyang'anya demu.
Tafuta mmoja atakaye kupenda na mshirikiane kwenye utafutaji, kuliko anayetumia tu bila...
Wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro ni hatari sana, yani suala la mwanaume kula mbata n jambo la kawaida na ukicheza unasukumiwa na ngumi.Yan wadada wakimachame na waogopa kama moto. Sijui wanaum watakimbilia wap Yan kwa machame wake ndoh wanaongoza boma, wanaume hawana saut kabs
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.