Recent content by GOKILI

  1. GOKILI

    JamiiForums Tanzania RESOLVED HOJA Nashauri iundwe 'Yanga Law'; timu itakayokaidi kutumia 'Vyumba rasmi vya kubadilishia Nguo' ipokwe alama tatu na kutozwa faini ya Tsh. Milioni 50

    Piga ban ya kushiriki katika mpira wa miguu kwa viongozi wa vilabu vinavyoshiriki kudumisha ushamba huu.Hii inaweza ikawa tiba ya kufutulia mbali huu ujinga.Sasa hivi wanajua watachangishana faini na maisha yataendelea.
  2. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mjinga ni majungu, Bora ukose mali upate akili, yanga wamedhihirisha KUKOSA KWAO AKILI

    Ina maana makamanda waikula dili na mnyama wakawaruhusu kupulizia dawa vyumba vya kubadilishia nguo vilivyopangwa kutumiwa na uto?Hebu Yanga acheni masihara huko ni kulidhalilisha jeshi letu.Masau Bwire hebu njoo unyooshe maelezo huku
  3. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Anayetamani Makonda kuwa Rais hana akili timamu

    Hivi wahusika huwa wanajitazama kupitia kioo hiki cha JF?
  4. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Leo Simba ana uwezekano Mkubwa sana wa kushinda, nitawachambulia kwanini,

    YANGA 0 SIMBA 1.Bado Isamuyo
  5. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kumsamehe Halima Mdee, napingana na John Heche

    Once a snitch ,always a snitch.Tupa kule.
  6. GOKILI

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Mwamakula aigomea Tume ya kuchunguza matukio uchaguzi mkuu 29 Oktoba 2025

    Safi Sana Baba Askofu.
  7. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Shikamoo kilimo

    Huku niliko bado najipa imani japo karoho kananidunda kuwa imeisha
  8. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop & phone accessories/solar /flat TV na majiko ya gesi kwa jumla na rejareja bei mserereko

    Ntapata battery ya latop ASUS X550C?
  9. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

    In comments shortly after the strikes, Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu said it would "continue to cut off the terror arm of the Iranian axis of evil until we complete the job", adding "we are only just starting with [the Houthis]". Kifupi ndio kwanza kazi imeanza.
  10. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Yemen iliwaonya kwamba Tel Aviv imeteuliwa kama eneo lisilo salama kabisa

    Karma is a bitch. Wanajitengenezea mpango wa kufutwa kwenye ramani za ugaidi.Watu walikuwa wanawaona Hezibollah miamba isiyoshindika lakini kilichowakuta leo hii wanajuta. Ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria.
  11. GOKILI

    JamiiForums Tanzania TYPE-C FLASH FOR SALE

    Weka mawasiliano ndugu
  12. GOKILI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuzorota kwa Huduma/Shirika gani litakufanya usiipigie tena kura CCM?

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa - NIDA.Hii taasisi haijakidhi kabisa malengo ya uwepo wake.Ni moja ya taasisi ambayo tangu kuanzishwa kwake inaakisi matumizi mabaya ya pesa za umma.CCM hoiiii.
  13. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 nitafungua kesi dhidi ya Halima Mdee na wenzake kwa kulipwa mishahara wakati wahakustahili kuwa Wabunge kutokana na kufukuzwa uanachama

    Ifike mahali watanzania tukatae kuburuzwa.Hata Spika wa bunge liliopita na Spika wa bunge la awamu hii ikabidi wawajibishwe kwa kuisigina katiba.
  14. GOKILI

    JamiiForums Tanzania Wapi wanakonunua karatasi kwa ajili ya recycling?

    Wadau nina mzigo wa makaratasi yaliyotumika ikiwa ni pamoja na magazeti na majarida na vitabu kukuu. Kwa mwenye kununua au anaefahamu wapi naweza kuyauza msaada tafadhali.
Back
Top Bottom