Inashangaza hata filam zingine huwezi angalia na wwt. Acha filam hata matangazo ya biashara. Jaribu kusikiliza tangazo la kondom. Mara helement oh nava sasa nava, mara ah baby hata kondom unita helmet?. Hilo likitolewa nauko wwt hasa mabint kuna maadili hapo. Hahusika wapo wapo tu
Hiitabia ya kuhusicha kifo na mambo yenu inaumiza sana wanafamilia na jamii kwa ujumla. Jaribuni kutafuta umaarufu kwa siasa zenu. Acheni kuwa kumbusha watu maumivu ya kuwaulia wapendwa/wategemezi wao. Au kwenu sherehe sio
Achane na uzushi huo mikoa ya kanda ya ziwa nimeshuhudi watu wameshimba kwenye milima, na kupasua miamba. Kwa bahati mbaya hata wengine hufia huko kwa kuangukiwa na miamba wengine kukosa hewa. Kuna mtu alinunua mlima akida kuna hz mali wamechima miaka 2 mpk ss wamekua kama mazuzu
Labda nichuki binafsi mbna tv/radio station nyingine zinarusha. Labda useme amekiuka maagizo/maelekezo waliyopewa, kipi kiulzwe na nani aalikwe. Kama wamekiuka hilo ana haki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.