Hospitali ya wilaya ya KONDOA yavamiwa

Hospitali ya wilaya ya KONDOA yavamiwa

kanyero

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
202
Reaction score
21
Hospitali ya w/KONDOA imevamiwa na watu wenye uchu wa pesa kutoka idara ya ardhi kondoa na kuanza kupima na kuuza viwanja kwa wananchi jambo ambalo limezua mgogoro mkubwa Kati ya CHMT na idara ya ardhi KONDOA.
Sehemu iliyomegwa ilikuwa imetengwa mahususi kwa ajili ujenzi wa jengo la idara ya mionzi na maabara.
Awali idara ya ardhi KONDOA imekuwa ikituhumiwa mara kwa Mara na ufisadi wa ardhi mjini KONDOA kwa kuwauzia wananchi viwanja hewa na kulazimu mwajiri wao kuhamisha baadhi ya watumishi waliohusika na ufisadi huo.
Rai yangu kwa waziri wa Afya, ardhi na Tamisemi kuingilia Kati suala hili kwasababu ni hujuma ya wazi kwa hospital inayowanufaisha wananchi wa KONDOA na chemba kuliko kuwaachia wabadhilifu wachache kunufaika
 
Hayo ndo maendeleo ya inchi hii na ukipata nafasi basi chukua chako mapema
 
watu wa idara ya ardhi huko mawilayani wanajiona kama miungu watu. wanajiona kama wao ndio wamiliki wa ardhi ya wilaya nzima na wanaweza kufanya/kumega ardhi wanavyotaka wao.
 
hiyo halmashauri ina mchwa balaaa,,hasa idara ya ardhi,,alfu mkurugenzi wake anawachekelea tu watumishi wake,,,,
 
wasilisheni malalamiko kwenye vikao vya Halmashauri kwanza kabla ya kwenda huko tamisemi
 
Warangi wamezidi ubishi.
Majungu wao.
Uma.laya wao
Ushirikina wao
Kuongea sana na majungu wao
Yaani siwapendi ila dada zao wako vizuri
 
Waache yawakute,kwani wamejawa na uzezeta wa kuing'ang'ania ccm yaani chama cha majambazi.
 
hiyo halmashauri ina mchwa balaaa,,hasa idara ya ardhi,,alfu mkurugenzi wake anawachekelea tu watumishi wake,,,,
Ataachaje kuwachekea wkt yeye ndio anaasisi mambo hayo? Kwani ule mgogoro wa kule Itaswi si yeye ndo alitenga eneo kwa ajili ya wafugaji, na yeye ndio kaamua kulibadilisha matumizi na kujigaia zaid ya ekari 300 na anaendelea kulima huko. Huyo DED wa Kondoa ni majanga
 
Hospitali ya w/KONDOA imevamiwa na watu wenye uchu wa pesa kutoka idara ya ardhi kondoa na kuanza kupima na kuuza viwanja kwa wananchi jambo ambalo limezua mgogoro mkubwa Kati ya CHMT na idara ya ardhi KONDOA.
Sehemu iliyomegwa ilikuwa imetengwa mahususi kwa ajili ujenzi wa jengo la idara ya mionzi na maabara.
Awali idara ya ardhi KONDOA imekuwa ikituhumiwa mara kwa Mara na ufisadi wa ardhi mjini KONDOA kwa kuwauzia wananchi viwanja hewa na kulazimu mwajiri wao kuhamisha baadhi ya watumishi waliohusika na ufisadi huo.
Rai yangu kwa waziri wa Afya, ardhi na Tamisemi kuingilia Kati suala hili kwasababu ni hujuma ya wazi kwa hospital inayowanufaisha wananchi wa KONDOA na chemba kuliko kuwaachia wabadhilifu wachache aana ykunufaika
Laana yakuwafukuza SIKIKA!
 
Nadhani mkurugenzi anakula na watu wa ardhi
 
Shida nyingine ni kwamba madiwani wengi wa KONDOA na chemba ni mbu@@mbu sana na wapenda viposho
 
kumbe uhamisho ni adhabu?mtumishi kafisadi mkurugenzi anu mhamisha akafisadi kwingine
 
Back
Top Bottom