Recent content by Gogo la choo

  1. Gogo la choo

    Gari la Maji taka lamwaga kinyesi Ubungo Mataa

    Nathani kuna mtu itakuwa ameifungua..kuna wale jamaa wanaofunguafungua kuiba mafuta yaliyobaki itakuwa wamebugi hapo
  2. Gogo la choo

    3TB EXTERNAL FOR SALE

    aisee hii kitu ikifika 180K niambie mkuu..
  3. Gogo la choo

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Duuh..RIP Celina..!!
  4. Gogo la choo

    PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

    Kwani PPF waliita tena watu kwa Interview nyingine?nakumbuka kuna moja ilishafanyika na tulifanyia hapo hapo!!
  5. Gogo la choo

    Utapeli: African International Research Solution

    Aisee huyu jamaa Innocent ni mshenzi sana...tapeli sana ameshawahi kuwaliza walimu kama 20 ivi kila mmoja alitoa M.1 kwa ahadi ya mikopo ya bei nafuu na viwanja..hafai..hafai..watu wawe makini sana hasa watafutaji wa ajira..!!
  6. Gogo la choo

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Aisee kuna jamaa anaitwa Kidedea au kide yupo hapo Kijitonyama ni mtaalamu sana wa hizi gari..pale karibu na Collobuš Hotel..
  7. Gogo la choo

    Masofa na kapeti Tshs 800,000/= tu, Vipo Mori

    Mkuu soma vizuri Tangazo lako then uje kupost tena..Heading masofa yapo Mori chini baada ya picha sofa zipo Morogoro..which is which!!!????
  8. Gogo la choo

    Dawa ya Allergy

    Aisee hata mimi mtoto wangu anamatatizo sawa na yako..nimehangaika nae sana..naomba akikupa maelekezo ni PM na mimi..dogo anateseka sana please mkuu..!!
  9. Gogo la choo

    Msaada kununua umeme TANESCO Luku ( mita mpya)

    Ni kweli mkuu..Mimi Tanesco waliniambia baada ya kumaliza hizo 50 unit unatakiwa ununue umeme wa zaidi ya elfu 35 ndo itakubali otherwise huwezi kununua umeme..maana kwamba zile 50 units is not a bonus..unazilipia pia
  10. Gogo la choo

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Sawa sawa..coz haina maana kukesha barabarani mwisho wa siku hawapigi wala hawalindi kura zao..ni wastage of time and money..ngoja tusubili hiyo October,2015 mkuu
  11. Gogo la choo

    GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Mkuu hawa vijana aisee..ile baridi ya pale KIA na vijana wameweka kambi!!?mwaka huu tutashuhudia mengi sana Mungu atupe uzima tu tuonane Oct 25
  12. Gogo la choo

    Viti vya Ubunge zaidi ya 60% CCM itapoteza!

    Tusubilie tar.25..huu utafiti wako ndo utajua kama ni valid au unvalid
  13. Gogo la choo

    Majibu Kazi ya Civic and Voters Education Field Officer

    Hata mm siwaamini hawa jamaa..wapigaji wa mjini hawa
  14. Gogo la choo

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Kova ameyakataza hayo maandamano kuanzia Buguruni..
  15. Gogo la choo

    Kidogo Chetu Kimtindo

    Safi sana..nimeipenda hii idea
Back
Top Bottom