Viti vya Ubunge zaidi ya 60% CCM itapoteza!

Viti vya Ubunge zaidi ya 60% CCM itapoteza!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Nimejaribu kupitia orodha ya waliochaguliwa kugombea Ubunge kupitia CCM Mwaka huu, Ni zaidi ya 60% unaenda kupoteza viti hivi hivi. Sababu ni hizi hapa Chini!

1.Wengi wa wagombea ni wale wa zamani ambao wananchi wameshachoka hapa zinapotea kura kwa-15%.
2.Baadhi yao wamepita kiubabe Ubabe kwa kutumia rushwa ambapo ni makosa yale yale ya 2010-18%.
3.Kila kona ya nchi wananchi wanalalamika mchakato hukua wa halali-10%.
4.Kuna baadhi ya mikoa na wilaya hazina wenyeviti wa chama wameshabwa manyanga-08%.
5.Vyama vyote vya UKAWA kupeleka kura zao kwa mgombea mmoja tu huku CCM kura zao zikijitegemea-20%.
6.Lowassa Kuhamia UKAWA pamoja na viongozi wengine wa CCM kunaongezea UKAWA nguvu-20%.

Tuache ushabiki tusubiri tarehe 25 October turudi tena kufanya tathmini hapa.
 
Tusubilie tar.25..huu utafiti wako ndo utajua kama ni valid au unvalid
 
Sawa, ninamashaka na kundi la walioitwa "MAWAZIRI MIZIGO" ingawa sijui kama wamepita
 
Nakubaliana na mtoa hoja,inawezekana isifike asilimia 60lakini for sure,miongoni mwa majimbo ccm itakayopoteza ni haya ya wakongwe kwasababu mbali na wananchi kuwachoka wametumia nguvu kubwa ikiwemo rushwa na ulaghai ili kupita kwenye kura ya maoni,wengine kwenye majimbo yao opponent wameamua kuhama chama ili kutoa sapoti waziwazi kwa ukawa ili kumwondoa mtoa rushwa na wengine hawajahama chama ila wamejiapiza wao na makundi yao kuishangaza ccm oktoba kwa kumpigia kura ukawa
 
Idadi ya wabunge wa viti maalumu inategemea na ushindi wa Uchaguzi mkuu kwenye majimbo. Kama hamtawapa CCM viti vya ubunge ndio mtakapokuwa mumewakata hao wa viti maalumu vinginevyo idadi inaweza rudi ileile.
 
Kurudisha wagombea waliochokwa kuta wa cost sana CCM ukichangia na nguvu ya ukawa ilivo aisee mbona cha moto watakiona aisee
 
Back
Top Bottom