Recent content by godzilah

  1. godzilah

    JamiiForums Tanzania Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Chief utakuwa sio mwenyeji kanda hiyo. Tunduma ndo njia panda ya Sumbawanga na Zambia kama unatokea Mbeya tena barabara mkeka umenyoka sijawahi kuona Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  2. godzilah

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Thaqaafa waandamana kudai matokeo ya watoto wao

    Shule yangu Nilikuwa hapa 2010-2012 wakati huo ilikuwa ni moja ya shule bora sana kwa mwanza. Imekutwa na nini tena. Wanafunzi waliandaliwa vizuri sana wakati huo. Mpaka ukanyage kidato cha nne ulipaswa kuwa umeivaa vizuri
  3. godzilah

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Tupo tu kunakucheki tunasema hiiii bhagosha. Unamanisha Bunda bado hatuna uelewa wa jf Balili, nyamakokoto, kabarimu, chilinge, nyasura, mpaka migungani tunapajua We jianike tu
  4. godzilah

    JamiiForums Tanzania Issue ya Feitoto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi

    Ni kweli lakini maisha ndo yanataka hivyo hata kama ungekuwa wewe lazima uangalie kesho yako. Nature ya binadamu yoyote ni ubinafsi so hata kwenye hili swala la Fei ni kuwa kila upande umekuwa na ubinafsi kwani Fei amejiangalia yeye na familia yake na sisi wananchi tunajiangalia sisi wenyewe...
  5. godzilah

    JamiiForums Tanzania Issue ya Feitoto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi

    Issue ya Fei toto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi. Jpili mchana niko nyumbani taarifa ya ajira mpya ikatoka, nikaingia mtandaoni kucheck. Katika majina jina langu pia lilikuwemo kwa haraka haraka nilishindwa kujua kama nifurahi au nisikitike. Why?? Kwa kipindi hicho nilikuwa muajiriwa wa...
  6. godzilah

    JamiiForums Tanzania Wanawake wazuri wamenipa Genital Warts na Gono

    Warts kwa dawa za kumeza ni kipengele nenda hospitali watatumia caustic pencil kuzichoma itasaidia but dawa ya kumeza au kupaka sahau kupona
  7. godzilah

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hamna huruma?

    Hii ni changamoto hasa kwa familia ambayo bado inajipanga kimaisha, Unakuta asilimia kubwa ya kipato inaishia kwenye mahitaji ya nyumbani. Mama wa watoto wangu huwa namwambia kwa uharibifu huu isingekuwa watoto kuna wakati nigegoma kutoa matumizi kabisa.
  8. godzilah

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa faini sh 50,000/- hapa barrier ya usagara kwa kukojoa hovyo. Hii ni sawa au sio sawa?

    Mura ulikuwa unatoka wapi mbona ni usiku sana
  9. godzilah

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa faini sh 50,000/- hapa barrier ya usagara kwa kukojoa hovyo. Hii ni sawa au sio sawa?

    Bro uge hide hilo jina na mlipaji ingekaa poa kabisa
  10. godzilah

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Mkuu ifike wakati tuache kushauri vitu ambavyo sio field yetu. Kwa ulichoandika hapa nina uhakika 100% hauko kwenye field ya medical. Clotrimazole and whitefield zote ni antifungal Hydrocortisone ni antihistamine and anti inflammatory Ni kwa vipi hizo dawa ziko associated na dalili ya ugonjwa...
  11. godzilah

    JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Sina uhakika kama itaonekana vizuri maana nime screenshot
  12. godzilah

    JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Najaribu kutafuta namna nyingine ya kukutumia maana ukitumia option ya kua attach ndo inakuwa hivyo
  13. godzilah

    JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Hizo sio exactly hesabu za ujenzi Nimejaribu kuonesha baadhi ya hesabu nilizoweza kuandika ila sio zote Fundi alikuwa analipwa kwa awamu Hiyo laki 4 ni moja ya malipo aliyolipwa fundi
  14. godzilah

    JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    View ya mbele iko namna hii
  15. godzilah

    JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Boss hapo navuta nguvu niweke wiring ndo nifunge bod na vigae also aluminium za madirisha. Unaweza ona kazi bado boss wangu
Back
Top Bottom