Recent content by Godyhema

  1. Godyhema

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Jamaa anahasira sanaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
  2. Godyhema

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Napoleon Hill "Kwa namna yoyote fikra ya mwanadamu" inavyopokea na kuamini itafanikiwa
  3. Godyhema

    Mwenye huruma hanaga bahati∆

    Hakunaga msemo wa hvo, Ila Kwa kiasi inaweza ikawa kweli kulingana na mtazamo wa mtu binafsi, Japo sikuzote tunasema roho mbaya haijengi ukitaka kufanikiwa unapaswa uwe na Roho nzuri yakusaidia maana asaidiae husaidiwa pia "Kuna huu usemi unasema Muosha huoshwa" Ishi hapa
  4. Godyhema

    Serikali, punguza kodi ya Sukari sio Pombe

    Angalia nawasiotumia pombe hususan kweny familia
  5. Godyhema

    Serikali, punguza kodi ya Sukari sio Pombe

    Kwa maradhi uliyoorodhesha hapo moja kwa moja n maradhi almaarufu kwa matajiri na sio watu wa hali ya chini/kati,,,, N heri serikali iangalie uwezekano wa kupunguza kodi kwenye sukari ila sio kwenye pombe......Unless otherwise wananchi wataendeleza biashara za magendo tu
  6. Godyhema

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tafuten app inaitwa analysis bet muwe mnaitumia kuchambua timu
  7. Godyhema

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hello JF; Lala kwa wakati sahihi, amka wakati sahihi, fanya kazi sahihi, ujitume kwa malengo sahihi, Ishi Maisha yako ukisubiri kifo sahihi.
  8. Godyhema

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Ila kwenye hilo la acid kuzidi kwenye damu ndioma linapelekea hlo tatizo mwilini, naomba ufafanuzi kidogo maana namimi n muhanga wa hlo tatizo
  9. Godyhema

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Muwasho naupata hasa usiku ninapokua nyumbani na usiku ninapokua nmelala najikuna sana
  10. Godyhema

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Nitaanza na hzo dawa kwanzza then nikiona imekua ngumu ntaenda hosp kupima damu
  11. Godyhema

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Mkuu hizi dawa kesho ntaenda kuzinunua Predi na antifungal cream..Nikipona ntaleta mrejesho kwako.Nashukuru kwa hili.
Back
Top Bottom