Recent content by godoro-la-comfy

  1. G

    Napenda wanawake mabonge

    Wanawake mabonge mko wapi
  2. G

    Majina ya wauza Unga maarufu wa JF

    Watu8 ni hatari sana huyo jamaa. Ana asili ya kimererani. Kukutoa roho yeye kwake ni kitu kidogo sana. Inasemekana yeye ndiye mmiliki wa boxer zote zinazofanya matukio hapa mjini na pia ana vijana ambao wapo trained kumwagia watu tindikali.
  3. G

    Majina ya wauza Unga maarufu wa JF

    Kwa kua viongoz wa nchi wanaogopa kuwataja wahusika wanaojihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya...Nachukua fursa hii kwa ujasili mkubwa na tena nikiwa na uhakika wa asilimia mia kuwataja wahusika ambao wamo katika folamu hii ya jamii. 1. Mamdenyi Huyu anamiliki majumba ya anasa. Ana rosheni...
  4. G

    Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

    Kaka msigwa...nimependa jibu lako.
  5. G

    Napenda wanawake mabonge

    Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi Zena...mtoto wa kinyamwezi...black beauty afu bonge nyanya ivi...
  6. G

    Manaiki sanga na picha za uchi

    Wadau..kwa muda mrefu nimeona kwenye mitandao mbalimbali kuhusu huyu dogo Manaiki Sanga kuweka picha za utupu na madada mbalimbali. Nashangaa sana...ina maana hao wadada wanafanya maksudi ama?....na wanachukua hatua gani wakijiona kwenye mitandao na huyo mkaka?..Kwa mwenye CV ya huyo kaka...
  7. G

    Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

    Asante kwa kujibu vizuri
  8. G

    Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

    Kaka nakushukuru kwa jibu la busara. Toka nimejiunga humu. Hili ndilo Jibu zuri na la kwanza kuliona. Kiufupi...kama ungekua unagombea. Ningekupa kura yangu. Asante sana.
  9. G

    Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

    Kueni serious basi nyie watu wa daslamu. Najua mnajua vitu vingi sana but wachoyo sana kuelimishana. Hua mnamaana gani kusema mjini shule kama majibu mnayonipa ndio haya ya kisembesembe?..Mnajibu utumbo utumbo tu kama Mwigulu Nchembe. Mnnfyuuuuusss
  10. G

    God's time is the Best

    Vijana tupunguze kutafuta ridhiki kwa njia zisizo nzuri. Ndio, maisha ni magumu sana. Na ni kweli asiyefanya kazi na asile. Na tena..kujishughulisha ni jambo jema sana. Na mkaa bure si kama mtembea bure. Ni vizuri sana kufanya kazi na kutafuta ridhiki kwa njia nzuri na hapo ndipo Mungu...
  11. G

    Assistant auditor tanapa

    Nnachoamini mimi...God's time is the Best. Ikifika muda wako no man can defend.
  12. G

    Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

    Sorry...nilitaka niiweke huku..nikakosea nikaiweka kwenye kazi na tenda. Na sijui jinsi ya kufuta thread. Sijui mnafutaje..mi mgeni humu...natokea Mwanza..kwimba.
  13. G

    Sijawahi kupanda ndege...Nielimisheni

    Mnaudhi sana humu. Mavi kabisa....mmnfyuuuuuuussss
  14. G

    Assistant auditor tanapa

    Yatabandikwa NBAA
Back
Top Bottom