Recent content by godmasai

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kazi kwa wakuu wa shule jiji la Arusha

    Kwa muongozo upi mkuu, je serikali imesenaje kuhusu hayo hapo juu; bado kuna changamoto lukuki kwenye elimu msingi bila malipo
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kazi kwa wakuu wa shule jiji la Arusha

    Typing error sio kigezo, wewe ndo mbululaz [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kazi kwa wakuu wa shule jiji la Arusha

    Wasalam wana jamvi, Takribanni wiki moja imepita tangu tangazo kwa vyombo vya habari ilipotolewa na ofisi ya mkurugenzi wa jiji la Arusha kuhusu kuwasimamisha kazi wakuu wa shule, kwa kuwa imesemekana kuwa katika shule hizo wamo wanafunzi hewa. Sasa maswali ya kujiuliza... Je, ni uchunguzi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rock City Shopping Mall Mlimani city cha mtoto

    Advertisement at work[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais akiimarisha ushirikiano na Israel, jionee kinachoendelea

    ukisha okoka na kumkubali Yesu kuwa ni mwokozi wako na kuacha dhambi utaelewa, sasa hivi uko gizani, tena totoro. mambo ya kiroho yanatokana na ukiwa kiroho wewe unaangali israel kimwali, yaani kisiasa na kidini.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais akiimarisha ushirikiano na Israel, jionee kinachoendelea

    wayahudi ni makatili kwa magaidi, magaidi ni akina nani, wewe mwenyewe wajua.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    Kagame si rais wako lakini mbona unachuki naye, au wewe ni mhutu.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Igunga yazizima kumsikiliza Magufuli

    Wingi wa swala haumtishi simba.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mgombea mwenza wa Dk. Magufuli, Samia Hassan asitisha kampeni zake Dar

    Hata dakika 3 zinaweza kumkojolesha mwanamke.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

    Kesho endelezeni hizo siasa zenu za ukanda na ukabila na udini msizungumzemiaka 50 watanzania waliwaacha mnataka kuwaaminisha nini wawaongezee miaka mingine.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nastahili tuzo kwa jinsi ninavyowakwepa wanafunzi wa kike

    Dawa ya wanafunzi wanaojilengesha kwako ni kuwachana live mbele ya wenzio, kufanya kazi inayokuhusu, kuwa na huruma na watoto wako maana utakavyowafanyia hao wanafunzì ndipo wa kwako watafanyiwa.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Kwa hisani ya kuweweseka.
  13. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA njia panda Mgombea Mwenza wa Lowassa, Jussa awakatalia, mkakati sasa ni kumnasa Othman Masoud

    Endeleeni kuwafagili ukawa mumpoteze magufuli katika masikio ya watanzania alafu mtaona matunda yake.
  14. G

    JamiiForums Tanzania CCM yaikana taarifa inayodaiwa kutolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape kuhusu Lowassa

    Bado makonda hajaja kwa kasi kubwabwaja.. Mtanyooka tu mama.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kazi inaanza na majeshi yapo imara

    Chizenga ha ha ha wewe ulikuwa mc wa harus yangu,
Back
Top Bottom