Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

Naam, wakati wanaccm wandakindaki wakihatadharisha mchezo Wa Kikwete na familia yake kumkata Edward lowassa, hawakuelewa athari yake hata hivo Kikwete alijua kuwa Lowassa ni dubwana kubwa lakini aliamua kudharau kwa maksudi. Pia nakumbuka wachambuzi mashuhuri walitoa maoni yao kuhusu hayo na mara baada ya mchakato Wa ccm walitweet ahsante jk kwa kuwapa upinzani nchi. Kwa waswahili (wakwere) wengi fitina za familia ni kubwa kushinda maslahi yeyote yale nahisi alidharau ushauri Wa usalama akaweka wa ridh na mama k.

Daah hii pass ya kisigino ya UKAWA ni hatari, wakati ccm wakitegemea hii week itakuwa yao kwenye media na midomo ya watanzani hasa kwa kuwa wanafungua campaign zao lakini mambo tofauti aisee kwani kuanzia leo na kesho habari kubwa ni uingiaji Wa Sumaye ukawa(heading za ksho na makala zote ni kuhusu sumaye na ukawa). Kwa hiyo psychology na morali ya wanaccm hasa makada imeshuka sababu walitegemea watakusanya nguvu zao zote hasa muda huu ambao jeshi la polisi kuzuiwa maandamano ya kurudisha form za uraisi, ubunge na udiwani kwani waliona hili linawapa nguvu ukawa kwa hyo wakajua wamewadhibiti hawatakuwa na publicity tena. Lakini hawa kujua kuwa wanadeal na mtu ambae ana mikakati ya kutosha iliomsaidia hata kumueka madarakani raisi. Sasa kuanzia kesho hamasa ya wanaccm imepungua kwa kiasi kikubwa kwani sumaye ni mtu mkubwa sana na wameshangaa imekuaje? Instead ktk mkutano wao wataimba na kukimbilia personal attacks dhidi ya sumaye na lowassa badala ya Sera na hapo ndipo washavurugwa kbisa.

Huruma yangu kwa Magufuli na suluhu kwani wanacheza ngoma sio size yao kwani ngoma hii jakaya mwenywwe inamhenyesha lkn kwa tahayuri aliokuwa nalo hana jinsi zaidi ya kuogopa lawama chama kisimfie mikononi kwani anajua fika kuwa lowassa is ahead them 1000m kwa kila step wanayoitumia.

Lowasa anatumia ile kanuni ya "KUmjua adui ni nusu ya ushindi" Oct...25 ndo mwisho wao..
 
ari_mpya_nguvu_mpya.jpgmaisha bora kwa kila mtanzania, ccm mbele kwa mbele
 
Kitu kimekuwa kikinishinda kuelewa ni pale wanaccm wanatumia nguvu nyingi kumsema Mh. Lowassa,mara mgonjwa,mara kaanguka,sijui fisadi n.k lakini kama ni wa dhati wa wayasemayo kwanini wasikae kimya kwakuwa mgombea wa ukawa ni mgonjwa,wao ina wauma nini?
Mh. Lowassa ana akili nyingi,mbinu za kisasa na ni mbunifu,sisi kama vijana tunahitaji urithi kutoka kwake. Hivyo wanaccm wajifunze kuendana na wakati. Changes we need!
 
Kwa bahati mbaya sana, Kikwete ndio amekuwa kama mgombea wa CCM kwa sasa.... Magufuli anafuata nyumba kama mkia tu.

Bila kubeba watu kwenye magari na malori CCM hawapati watu kwenye mikutano yao.
Na wanajua ukweli ila wanaufukia.
 
Yan mwaka huuu watajfunza kiongoz unaetizamwa na macho yawananch wako nando walokuchagua leo hii wamekua MAKAP& wanywa viroba kwel sera hawana mtaisoma no mwaka huu cjui mtajficha wap
 
Mungu ana njia nyingi. haya ninayoyaona sikuwahi kuyawaza hata mara moja kwamba ukombozi wa watanzania unapatikana/tptikan kwa njia hii. kweli Mungu ni mwema.

Njia za Mungu kiukweli huwaga hazichunguziki hata siku moja hakuna aliyejua kuwa yatakuja kutokea haya yanayotokea
 
In my view and a well considered one, Edward Ngoyai Lowassa will provide the much needed leadership that our country desperately requires. John Pombe Magufuli will only, in contrast, give us what he is best at, mere good management.
 
Nafurahia sana kuwa sehemu ya mabadiliko ya Tanzania.

Na UKAWA waseme kabisa mchakato wa Katiba Mpya lazima uhuishwe na maoni ya Rasimu II ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ndiyo kipaumbele. Na mfumo sahihi wa muundo wa Muungano ambao upo clear yaani Serikali 3. Wakiahidi kuhuisha Rasimu 2 watapata uungwaji mkono. Wananchi wengi hawakufurahia kilichofanyika Dodoma!
 
Ni Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Tupu, Sisiem Imewatesa Watanzania vya Kutosha sasa Ni saa ya Kupata Kiongozi Wala

Sio Mtawala. JK Hawezi Kutuchaulia Rais Anaempenda Mwenyeewe, Tutamchagua Kiongozi Tumtakae Na Anakubalika Kwa
Watz Wote.
 
Tumeshawashtukia na ukaskazini wenu. Hampqti kiti kanda ya ziwa maana na sisi tunaanza rasmi kujimobilize. Hapa hakuna cha UKAWA ni mpango wa Mungu bali mnasupport ukaskazini ili mdivert uchumi wa nchi mpeane nyie. Ukabila ni jadi yenu na angalau tumewashtukia mapema. Mnataka kufanya kama mlivyofanya TRA na CRDB. Humo ni Kimaro, Masawe, Mushi, Kimei ,Kwayu nk. Hatukubali upuuzi huu.

Kesho endelezeni hizo siasa zenu za ukanda na ukabila na udini msizungumzemiaka 50 watanzania waliwaacha mnataka kuwaaminisha nini wawaongezee miaka mingine.
 
Naam, wakati wanaccm wandakindaki wakihatadharisha mchezo Wa Kikwete na familia yake kumkata Edward lowassa, hawakuelewa athari yake hata hivo Kikwete alijua kuwa Lowassa ni dubwana kubwa lakini aliamua kudharau kwa maksudi. Pia nakumbuka wachambuzi mashuhuri walitoa maoni yao kuhusu hayo na mara baada ya mchakato Wa ccm walitweet ahsante jk kwa kuwapa upinzani nchi. Kwa waswahili (wakwere) wengi fitina za familia ni kubwa kushinda maslahi yeyote yale nahisi alidharau ushauri Wa usalama akaweka wa ridh na mama k.

Daah hii pass ya kisigino ya UKAWA ni hatari, wakati ccm wakitegemea hii week itakuwa yao kwenye media na midomo ya watanzani hasa kwa kuwa wanafungua campaign zao lakini mambo tofauti aisee kwani kuanzia leo na kesho habari kubwa ni uingiaji Wa Sumaye ukawa(heading za ksho na makala zote ni kuhusu sumaye na ukawa). Kwa hiyo psychology na morali ya wanaccm hasa makada imeshuka sababu walitegemea watakusanya nguvu zao zote hasa muda huu ambao jeshi la polisi kuzuiwa maandamano ya kurudisha form za uraisi, ubunge na udiwani kwani waliona hili linawapa nguvu ukawa kwa hyo wakajua wamewadhibiti hawatakuwa na publicity tena. Lakini hawa kujua kuwa wanadeal na mtu ambae ana mikakati ya kutosha iliomsaidia hata kumueka madarakani raisi. Sasa kuanzia kesho hamasa ya wanaccm imepungua kwa kiasi kikubwa kwani sumaye ni mtu mkubwa sana na wameshangaa imekuaje? Instead ktk mkutano wao wataimba na kukimbilia personal attacks dhidi ya sumaye na lowassa badala ya Sera na hapo ndipo washavurugwa kbisa.

Huruma yangu kwa Magufuli na suluhu kwani wanacheza ngoma sio size yao kwani ngoma hii jakaya mwenywwe inamhenyesha lkn kwa tahayuri aliokuwa nalo hana jinsi zaidi ya kuogopa lawama chama kisimfie mikononi kwani anajua fika kuwa lowassa is ahead them 1000m kwa kila step wanayoitumia.
huo ni mkakati na bado tutawavuruga tena soon.bado mwingine anakuja kimkakati.
 
Na UKAWA waseme kabisa mchakato wa Katiba Mpya lazima uhuishwe na maoni ya Rasimu II ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ndiyo kipaumbele. Na mfumo sahihi wa muundo wa Muungano ambao upo clear yaani Serikali 3. Wakiahidi kuhuisha Rasimu 2 watapata uungwaji mkono. Wananchi wengi hawakufurahia kilichofanyika Dodoma!

Na halo ndipoo CCM ilipojikwaa ikaja kuangukia kwenye mchakato wa uteuzi Dodoma.
 
View attachment 279217maisha bora kwa kila mtanzania, ccm mbele kwa mbele

Rais Kikwete anavyo kazana kuzuia mafuliko kwa mkono lazima ataangukia pua muda sio mrefu. Sasa hivi mbinu zake zote zimeshagundulika na wajanja watamuaibisha kweli. Week end imeanza kwangu.. Nataka nitoke na mpeeeenziiii wangu Seyaaaaaa... Ujue Seya nakupendaga saaaanaaa..!!!🚶🏿
 
Back
Top Bottom