Recent content by GODLOVEME

  1. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Chama hakifi kwa watu wachache kuondoka while wanachama bado wapo.
  2. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Goba niinunue, budget yangu ni Tsh. Milioni 300

    Kiwanja kinauzqa 150M njoo inbox
  3. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis ana kitu gani cha maana ambacho sisi mashabiki hatukioni?

    Labda kwenye zile 300M za usajili amekula na wakubwa
  4. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

    Hizo propaganda za private hospital Hata hivyo ile ni hospital ya rufaa uwezi ukafananisha na hizo hospital zinazotibu UTI kama kitengule, regency, rabinsia etc Ambazo Daktari Dingwall mpaka atoke Mloganzila ndio ukamuone
  5. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

    Mzee vifaa vilivyopo hapo hakuna private hospital yoyote Tanzania vinavweza kuwa navyo Madaktari wengi ni specialist na sio physician kama tunavyodhani Hizo unazosikia ni siasa mzee, Mimi napeleka ndugu zangu pale Mara nyingi Huwezi fananisha huduma za Mloganzila na hospital coyote...
  6. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    January ndio Rais ajaye jamaa ni mtulivu sana, kuwa mpole.
  7. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    Kama nimemsikiliza vizuri Moja kati ya changamoto za mradi ilikuwa project communication management haikuwa well planned Project quality management pia haikuwa sawa ndio maana baadhi ya hatua zimechuliwa, Na hay Mano yanawezekana kabisa awayabtano project zilikuwa zinaendeshwa kisiasa
  8. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    Mtu ana PMP unamwambia akasome google
  9. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    Project Management gain unayoiongelea
  10. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    work Breakdown structure unayoingolea ni ipi moan kama unalalamika Project hiyo ilikuwa inafanyika kisela Sasa lazima Work program inayoaandaliwa izingatie mambo mengi na siyo ya kisiasa Ukiangalia katikati ya mistari Huna hoja ya msingi
  11. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

    Ficha ujinga wako
  12. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania Niliacha kumpenda Rais Samia tangu alipomteua January Makamba kuwa Waziri wa nishati

    Wote wanaompinga January Makamba wana Agenda ya siri.
  13. GODLOVEME

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Acheni ujinga kila siku makamba makamba shida nini?
Back
Top Bottom