Mnaendeleaje na michakato wadau!
Mimi ni kijana, graduate wa shahada ya kwanza ya uhandisi mazingira 2015, Ardhi university. nashukuru Mungu kwa kumaliza chuo salama na hata hii zawadi ya uhai anayoendelea kunipatia. Wadau, tangu nimalize chuo mchakato ya ajira imekuwa changamoto kwangu hivyo...