Rais Magufuli akiri kuwa hakujiandaa kuwa Rais!

Ulivyoandika tu inaonyesha kamwe huwezi mkubali hata apige kazi kiasi gani!
Umeandika kimajungu uzi wako ila point hamna, aliyekwambia urais unasomewa ni nani? Hakujiandaa sababu ilikuwa na wagombea wengine, unless yule jamaa aliyenunua karibu sisiemu wote ila bado akachinjwa, yeye alikuwa na uhakika kua pesa ingemfanya awe rais ila tukachinja wananchi.
 
Huyu mleta uzi kweli ni kiazi mbatata. Kwa uandishi wako tu unaonekana ni kilaza next level.

Nyie ndo wale mkisikia kuwa 'maisha ni safari' basi mnabeba mabegi kuelekea stendi.

Badala ya 'kuzungusha mikono', naona wewe ushaanza 'kuzungusha makalio'! Izo bangi zenu za kuvutia chooni mtakuja kuvaa brazia vichwani.
Apelekwe RITA ama NIDA ahakikiwe nadhani huenda anatoka Ughaibuni huyu.
 
Ulivyoandika tu inaonyesha kamwe huwezi mkubali hata apige kazi kiasi gani!
Umeandika kimajungu uzi wako ila point hamna, aliyekwambia urais unasomewa ni nani? Hakujiandaa sababu ilikuwa na wagombea wengine, unless yule jamaa aliyenunua karibu sisiemu wote ila bado akachinjwa, yeye alikuwa na uhakika kua pesa ingemfanya awe rais ila tukachinja wananchi.
Baada ya kuchinjwa akasonga mbele na ununuzi. This time siyo kununua watu bali taasisi nzimanzima
 
Mfano mwingine hajawapa instrument mawaziri ndio maana tunashuhudia vurugu hizi...na subirini muone vurugu ys bajeti
 
Mfano mwingine hajawapa instrument mawaziri ndio maana tunashuhudia vurugu hizi...na subirini muone vurugu ys bajeti
Unamaanisha nini hajawapa intrument mawaziri?? Vurugu gani wewe unashuhudia?
Elimu yako ni daraja gani ndugu?
 
Hivi tiss humu hawapo huwezi kumuandika raisi wako kama mtoto wako unayemlea nyumbani hata kama ni kupinga pingeni vitu vyenye maana huu ni wivu
 
Nyie angalieni makosa ya spelling ila habari ndiyo hiyo,,! hakujiandaa ..mnatumia viwango vya chini mno kupima viongozi na viongozi!JIBUNI HATA HILI ALIPUNGUZA UKUBWA WA SERIKALI AU IDADI YA MAWAZIRI??!!
Pumbafu kabisa wewe huwezi kumtaja taja raisi kama mtoto wa chekechea kuna vitu vya kupinga ...huna hoja zaidi ya huuu wivu wako
 
Leo nimesikiliza hotuba ya Rais akiwa Chato. Mbali ya l endelea kujenga matumaini makubwa na ahadi kede2,ukiacha pia kiswahili kibovu alichotumia ,na kuchapia matamshi ya Kingereza cha kchombeza mfano,Division zero,anatamka zeero! Rais amekiri kuwa kaxi ni ngumu na hakujua hilo.Kwani yeye alikuwa anabeep tu na simu aking,"angania huko!Haya ni matamshiakubwa ambayo yanaeleza pia taswira ya utendaji wa JPM. Ni miezi 5 sasa Rais hajaonesha nia wala urashi wa kuonesha vision yake,hata hajaweka misingi ya kujenga mifumo ya utawala wake! TUNACHOKISHUHUDIA NI SIASA ZA KUPIGIWA MALOFI! Hii ni hatari na asipokywa makini ndio anguko lake,
.DAlili zi wazi..ameunda serikali kuwafurahisha wasiojua! Ukweli ni kwamba Wizara ni zilezile za Jk,ila kapunguza mawaziri..Wajinga watabisha,! Hata instrument za Wizara hizo hazipo.Mkuu kama ulikuwa unabeep,ndo hivo tena ,acha maigizo,!
Duh!! usilolijua ni kama usiku wa kiza, hivi mtoa mada nani hasa anatumia kiswahili kibovu? hebu angalia hivyo ulivyoandika, hicho ni kiswahili safi? au ndiyo na wewe ni kuandika andika tu ili uonekane umeandika? Pumbavu zako!!
 
Huyu mleta uzi kweli ni kiazi mbatata. Kwa uandishi wako tu unaonekana ni kilaza next level.

Nyie ndo wale mkisikia kuwa 'maisha ni safari' basi mnabeba mabegi kuelekea stendi.

Badala ya 'kuzungusha mikono', naona wewe ushaanza 'kuzungusha makalio'! Izo bangi zenu za kuvutia chooni mtakuja kuvaa brazia vichwani.
Duh!
Mkuu kwenye andiko lako nililoweka rangi nyekundu umenifanya nicheke!

Ama kweli, Jamiiforums is stress free!
 
Mkuu hata mimi niliifuatilia jana usiku mida ya saa tatu hivi nafkr lkn tulijadili rais kusema alibeep akakuta imeshajipiga alafu ikakata kujikata akajikuta amekua rais sasa kiingireza ni big problem zero.... Pronunciation ...kaz tunayo
 
uandishi wako unaonesha hata la saba hujamaliza, umeweza vipi kuona makosa ya lugha kwa magufuri! au ndo ninyi wenye akili za kushikiwa! wakiongea wajinga na nyumbu anafuata bila kuchuja ukweli!
 
Waoza meno mwaka huu kazi mnayo, tangu sioi akamatwe JF imechemka kweli, kamsalimieni segerea lemuntuz kamwona jana anasema akilala na kesho anavuta kamba hali sio nzuri.
 
Unamaanisha nini hajawapa intrument mawaziri?? Vurugu gani wewe unashuhudia?
Elimu yako ni daraja gani ndugu?
Elimu yangu ya nini,mimi nakuambia hajawapa mawaziri instrument",unabisha nini ,kinachofanyika serikalini sasa ni Mazoea! Uliona wapi Wizar moja ina Maafisa Masuhuli wawili au watatu,hata sheria za fedha hazitekeleziki..Tatizo lenu wasomi nyie ni wasomi kwenye maeneo yenu tu,kama umesomea Tabia za Wanyama na Wadudu,au Umesomea Miamba na Majabali,mnataka muwaaminishe watu kuwa mnajua kila kitu...nasisitiza Mh Rais amekiri Mwenyewe kuwa alikuwa ana beep,sasa kauli kama hiyo,hakuitoa bahati mbaya...amepata Urais kutokana na CCM KUTOJIANDAA! ...endeleeni kutukana ili ushahidi uje kuwa mwingi!
 
Mkuu ukiacha ya mwandiko labda kashindwa tu kujenga hoja vizuri ila nimemwelewa....

Magu alipokuwa akishangaa kwenye kampeni nami nilimshangaa!! Kwakweli it's not easy kama alivyokuwa akifikiri.
Mkuu post za watu woote baada ya thread hii ndio post inayoelewwka zingine ni kama zimeandikwa na wafia ccm
 
Elimu yangu ya nini,mimi nakuambia hajawapa mawaziri instrument",unabisha nini ,kinachofanyika serikalini sasa ni Mazoea! Uliona wapi Wizar moja ina Maafisa Masuhuli wawili au watatu,hata sheria za fedha hazitekeleziki..Tatizo lenu wasomi nyie ni wasomi kwenye maeneo yenu tu,kama umesomea Tabia za Wanyama na Wadudu,au Umesomea Miamba na Majabali,mnataka muwaaminishe watu kuwa mnajua kila kitu...nasisitiza Mh Rais amekiri Mwenyewe kuwa alikuwa ana beep,sasa kauli kama hiyo,hakuitoa bahati mbaya...amepata Urais kutokana na CCM KUTOJIANDAA! ...endeleeni kutukana ili ushahidi uje kuwa mwingi!
Kiongozi mimi nakuelewa
 
Mleta mada ni kizazi cha pampers na wipes
Haya bwana jinga ..kizazi chenu cha kuchambia magunzi ndio hiki! Hoja za mtoto wa chekechea wa pampers hamzijibu mbatukana...anekiri hakukiri! Unafuatilia kidogo siasa _uchumi ndani ya nji " yetu ,!Mod endeleeni kuweka mada hii juu ,sisi kizazi cha pampers tuwajue watangulizi wetu!
 
Tuambie ipi ni lugha kubwa zaidi maana naona unatusumbua utafikiri mimba yako ilitunga kamusini.

Mtoto wa lowasa nn ???
unapata wap ujasiri wa kumtaja mtu ambaye hata ginamu za viatu vyake huwezi kufungua, son of the bitch.
 
Back
Top Bottom