Siku zote mnadema hamtazami Tbc lakini vyanzo vyote vya habari zenu ni Tbc na muda wote mnakodoa mimacho utasikia Tbcccm
Wabongo bana mnaboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hafanyi mikutano wanakangua utekelezaji Wa ilani yao kama inafikiwa kama kuna tatizo mahala wanachukuwa hatuna.tofauti na wapinzani wao wanafanya mikutano na kutoa matusi hawahamasishi maendeleo wakikuta kinafanyika kitu Kazi yao kupiga ndio maana wameambiwa siasa hadi 2020 ndio waseme mbona...
Kwa miaka hii Roho zenu nyeusi sana mtakoma sana wanaotoka nje Wa naona ukweli mlitaka waone kama nyie mliovaa miwani ya miti mtakufa na Roho zenu hizo ndio maana mnashindwa hata kujenga ofisi hata Rangi hampaki mkitaka vikao hotel bili hamjui inalipwa bei gani
Michadema watasubili sana hakutakuwa na kambi ya upinzani michadema wabunge 3 na viti malum 2 jumla 5 ACT ndio itakuwa na wabunge kutokea Pemba zito ndio atakuwa kama mbowe leo
Nchi ina watu mambo yasio na maana ndio hupendwa Tanzania yetu tunaijenga wenyewe kwa ujinga tunabomoa kwa upuuzi. Ukiharibu ama kuponda ndio unakuwa kamanda ama ukisema uogo hapo ndio shujaa tubadilike tuipende nchi yetu ukiona michadema inafurahia jambo ujuwe ni kubomoa. Mfano mijinga kibao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.