Tukio la kupokea ndege Mwanza: Sijafurahishwa na utaratibu unaotumiwa na TBC kurusha picha

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Nimeudhika na utaratibu wa kurusha picha kwani muda mwingi wanatuonesha mahema wakati ndege imeshawasili.

Mpiga picha au mwongoza kipindi anataka watu waone nini kwenye mahema yenyewe kama ya wakimbizi?

Au una agenda gani labda tujue? Maana hata watu si wengi hapo kwenye hizo tents.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli TBC wanaboa sana , mi naangalia chanel10 , kazi yao nikumulika maheka tu. Kwakweli badirikeni! Inakuwaje tv ya taifa inazidiwa na private sector? Mwakyembe kila sehem huwezi!!! Tumbua usiangalie sura nspo mpaka jpm?
 
Mtoa hoja uko sawa kabisa . Hata Mimi nimeziona kasoro hizi katika matukio mengi ya nyuma .Na si TBC tu hata station nyingine wanajisahau sana kwenda na matukio , inatuboa sana watazamaji tunachoka kubadirisha Chanel ili kupata mwendelezo mzuri wa matukio. Kumbukeni kuwa ninyi wapiga picha ni zaidi ya waandishi wa habari,,,,kuweni active mnapokuwa katika events za live.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitupa king'amuzi cha zuku baada ya kuondoa local channels zote wakabakiza TBC
 
Back
Top Bottom