Recent content by Godfrey Mgassa

  1. G

    Nahitaji mashine za kupokelea malipo kwa mastercard

    Tembelea tawi lolote la benki ya Crdb, watakusaidia... Wako vizuri sana mkuu.
  2. G

    Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    Itawachukua muda gani kuhahakikisha kuwa mifuko ya kijamii inawalipa wastaafu katika usawa tofauti na sasa ambapo wastaafu hupunjwa pesa zao. Na je,wastaafu waliopunjwa baada ya sheria mpya kupita...nini hatima yao.
  3. G

    Msaada kuhusu crdb mobile

    NDIO...Iko safe mpendwa..muhimu usitoe namba ya siri na kuwa makini katika akaunti unazo transfer... USIMPE MTU NAMBA YAKO YA SIRI..
  4. G

    Msaada kuhusu crdb mobile

    kuuliza balance ....tshs200 mini statement ...tsh100 money transfer kwa akaunti zako...tsh 200 money transfer kwa 3rd party`s acc...tsh 400 cardless kwa namba za simu 1000 mobile money up to 200,000 ni...tsh 1000, 200,001-500,000 ni ...tsh2000,500,001-1000000 ni ...tsh5000 transfer from mobile...
  5. G

    Msaada kuhusu crdb mobile

    Kumbuka ukiombwa kujaza kwenye ukomo wa kadi...utaandika namba kama zilivyo bila kuweka nafasi au alama ya / kama ilivyoandikwa katika kadi yako.. mfano katika kadi inaonyesha tarehe ya ukomo ni 03/16...utatakiwa kundika 0316 Kama kadi ya ni VISA, tarehe ya ukomo utakutana na neno EXPIRES END...
  6. G

    Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

    Ndugu, kuwa na hakika na unachoandika..hiyo kasumba ilikuwepo na watu wakaamini hivyo....ni vibaya kupotosha watu hususani Walimu. Mtumishi wa Serikali ana haki ya kuchagua popote anapopendelea kupata huduma za kibenki.
  7. G

    Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

    Ukifika tawi lolote la crdb, jitambulishe tu mie Mwalimu...nataka kufungua akaunti. Mwenyewe utashangaa..fulu ukarimu. utakuja kunambia badae..
  8. G

    AJIRA ZA WALIMU WAPYA: Ni vitu gani muhimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti?

    Inategemea na mwajiri wako anapopeleka doc za malipo ila nakuhakikishia crdb hutojuta...wengi wanapokea kwa wakati na ndio maana huwezi kukuta foleni za kutisha katika ATM au ndani pia..mwenyewe natumai ulishawahi kushuhudia..haitaji kufikiri sana.
  9. G

    Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

    Nakushauri ukafungue CRDB maana huduma zao ni rahisi kupata na WANAPAMBANA NA FOLENI KWA SANA. Na wana huduma FAHARI HUDUMA ambayo inaunganishwa karibu na Posta zote Tz..
  10. G

    AJIRA ZA WALIMU WAPYA: Ni vitu gani muhimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti?

    Kumbuka kufika tawi lolote la CRDB kufungua akaunti yako kwa ajili ya mshahara..
  11. G

    Yafaa nini kuendelea Kumlilia mwl.JK Nyerere,as if we can't make it without him?

    Ungekuwa watumia majina yako usingeweza kuandika haya...acha kashfa kwa Baba wa Taifa. Hii nchi haijawahi kuwa maskini...ina kila kitu, tatizo lipo kwako, kwangu na wengi wetu tusiokuwa na utu wala uadilifu. JE WEWE AU BABA YAKO MNALIFANYIA NINI HILI TAIFA KATIKA KUPAMBANA NA UMASKINI...
  12. G

    Yafaa nini kuendelea Kumlilia mwl.JK Nyerere,as if we can't make it without him?

    Yafaa kumlilia maana ni Mwenyeheri..naamini huko alipo analiombea taifa hili ambalo linawindwa na mabeberu kutokana na maliasili zake
  13. G

    Naomba kufahamu biashara ya Uwakala wa CRDB fahari huduma

    Ndio...kampuni inaweza kuwa wakala...Tembelea tawi la Crdb hapo Mbeya upate maelezo ya kina...kila la kheri
Back
Top Bottom