Mambo ya binadamu hayoooo!! Hii nchi bana inaendeshwa watakavyo kwanza viongozi wanalindana xna nimesoma maneno aliyo sema RAISI WILBORD SLAA yanaukweli mtumpu ni mambo mengi sana serekali yetu wanayafumbia macho kama inshu ya ulimboka,yule mwandishi wa habari wa chanel ten yote kapuni sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.