Recent content by godfrey joseph chuwa

  1. G

    Azam Tv wanaforce kuuza antenna

    Ubora NI uleule Ila dish linatumia satellite hivyo Lina gharama zaidi kuliendesha tofauti na Cha antenna na ndio maana vinapishana Bei
  2. G

    Paracetamol (Acetaminophen)

    Umesema kwa mtoto miezi 6- hadi mwaka 1 anapewa 120 hii inamaanisha nini kitaalamu?kile kidonge kinakatwa nusu au robo?
  3. G

    Msaada wa kuchanganya cocktail

    Jamani naombeni msaada wa kuchanganya cocktail maana nilikunywa mahali aisee ilikuwa poa sana sasa natamani na mimi niweze kuiandaa ila sijui michanganuo nini na nini naombeni misaada kwa ninyi mnaofahamu au kama kuna ambayo imekamilika pia nipate kujuzwa yaani kama naweza enda dukani au...
  4. G

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu yangu huko kila kitu utakacho fanya lazima ukate tena sio kidogo hata huku kwenye menu ya kawaida nilazima ukatwe maana unatakiwa uwe na vocha kwenye simu sio kifurushi hapana ni vocha kama vocha
  5. G

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nyumbani kwangu kuna tatizo la mita yaani unit zipo lakini umeme hauwaki nikiongeza unit zinaingia vizuri tuu nikiangalia unit zinaoonyesha vizuri lakini umeme ndani hauwaki kwenye rimont yake inawaka taa moja nyekundu na pia kuna mshale umenyanyuka juu badala ya kunyooka nimetoa taarifa...
  6. G

    Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Ndugu zangu wooote nawashukuru maana tatizo la pc yangu limekwisha nawashukuru nimefuata maelekezo na hatimae tatizo limekwisha na tena nimejifunza kitu kwenu hili ni somo ambalo hata wakati mwingine linaweza kunisaidia kabla sijaja huku ASANTENI ila shukrani za pekee zikufikie ndugu yangu...
  7. G

    Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Mkuu nikiiwasha wakati inapokea moto zinawaka taa 2 za njano moja ni ya disc na nyingine ni ya power sekunde kama 2 tuu zinakata na inawaka taa nyekundu na inawaka kwa ku-blik kama endcator na inaambatana na alarm inapiga mara tano 5 kisha inakata inapiga tena na tena na mwisho alarm inakata...
  8. G

    Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Boss hujanimaliza kunieleza kaka maana inawaka taa nyekundu badala ya njano na inapiga alarm nakuomba uendelee kunisaidia tafadhali
  9. G

    Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

    Hivi huwa mnawazaga nini yaani mnapocomenti eti urafiki upo kati ya mwanaume na mwanamke huo urafiki unakaa sehemu gani?kwani huyo mwanaume yeye anakuwa hana matamanio? Maana ninachojua mimi urafiki wa kazini huo sio urafiki hayo ni mahusiano ya kikazi au kiofisi hivyo huo sio urafiki .rafiki...
  10. G

    Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Yangu ina tatizo kama hilo inapiga alarm na feni linazunguka
  11. G

    Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Mkuu mimi nina tatizo kama hilo pc yangu aina ya hp desktop nilikuwa naitumia vizuri tuu nikamaliza shuhuli yangu kwenye kompyuta yangu na nikaizima vizuri tuu nikawa nimekaa kama masaa mawili nikataka niitumie tena basi ile nawasha tena inawaka taa nyekundu ambayo sijawahi iona ikiwaka tena...
Back
Top Bottom