kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 10,511
- 17,431
Kumbe
Dish ni kama ungo wa mchele tu[emoji23][emoji23] issue pale ni ile receiver ndio ina control taarifa zote
Ila dish na decoder ni zozote
Kumbe
Ubora NI uleule Ila dish linatumia satellite hivyo Lina gharama zaidi kuliendesha tofauti na Cha antenna na ndio maana vinapishana Beinatamani mwenye majibu anielimishe na mimi