Wana forum kwa mtazamo wa wanawake wacha Mungu kipato cha familia ni 700000
Ikiwa ukimpata mkeo kwa akilizo mwenyewe basi swali hili litaleta mjadala ila ikiwa ni the COMPATIBLE that was sent to you from heaven its the same
Jamani huyu mdau aliyesema hana dini ila ana Mungu nampa pongezi kwa sababu Dini kiuhalisia ni utaratibu tuu wa kumwabudu Mungu Mwenye enzi yote na utukufu wote na heshima zote na adhama zote!!!
Mfano ktk Ukristo Biblia Takatifu katika kitabu cha Yakobo( 1:26-27) inasema (DINI ILIYO SAFI, ISIYO...
Pamoja na kuwa bado siwezi kutoa vielelezo kutoka ktk maandiko lakini jambo hilo ni kweli kbs. Na siyo tuu kwa walio nje ya ndoa bali hata wanandoa wenye background ya masuala na imani za kimizimu wanaweza kuambukizana mapepo na majini kwa njia ya tendo la ndoa. DAMU INAHUSIKA KURUHUSU MAMBO...
Acha kutania bwana!!!
Baki na figo zako 2.
Ila tafiti zinaonesha kuwa pamoja na vumbuzi unazozijua na usizojua bado binadamu hajatumia hata robo ya uwezo mkubwa Mungu aliomjalia ktk ubongo!!! Halafu jarbu kufikiria kama ungekuwa na figo moja ungefanyaje??!! Jaribu kuumiza akili mTZ MWENZANGU.
Rais Mao Tsetung alisema no research no right to speak!!!
Kwa hiyo kwa maana nyingine alimaanisha with proved research we can dare open our mouths!!!
Anayetaka kuzungumza afunue nyaraka alizopata hapo poa, siyo kwamba kuwa Mimi nimesoma UDSM au SAUT pamoja na porojo za baadhi za wahadhiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.