Recent content by Goddwyn

  1. G

    JamiiForums Tanzania BELLE 9, BEN PAUL Na DIAMOND nani mfalme wa R n B TZ

    Hao wote ulowataja kinara wao ni Ally Kibba. Hapo hakuna cha Diamond wala Platinum
  2. G

    JamiiForums Tanzania Strabag ni janga jingine

    Nimeamini wewe ni BOFLO kweli kweli yaani BOFLO
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

    Kuna ulazima wa kutangaza kila kinachokuingizia kipato? Mbona hao mawaziri wako mafisadi ni mamilionea na hawatangazi vyanzo vyao na mishahara yao iko wazi kabisa
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

    Kwani ubilionea ni biashara unayoendesha au ni cash unayomiliki?
  5. G

    JamiiForums Tanzania M'bunge wa ubungo kamanda john mnyika apanda daladala kuona nini utamu uliomo kwa wananchi

    Big up mnyika, naomba hilo zoezi lisiishie hapo liwe endelevu awe anapanda japo mara moja kila baada ya miezi mi3
  6. G

    JamiiForums Tanzania Spika Anna Makinda achimba mkwara mzito wabunge

    Kwani bibi kiroboto hajakabidhiwa gobole pale kwenye kiti chake amlenge hata mmoja akafie mbali ili kuonyesha ujasiri wake na kupunguza hayo matusi?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Kabila la mtanzania nalo sifa zake ni zipi?
  8. G

    JamiiForums Tanzania PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

    Kuzika ni Sunnna! kama ulikuwa hutambui:A S-fire1:
Back
Top Bottom