Ukweli hucheleweshwa tuu lkn huja. Zitto aliomba vyama vinne: ccm, chadema, nccr na cuf viwasilishe mahesabu na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali. Na japo ndipo alipochochea moto wa kuandamwa, ila IPO siku tutajua mbivu na mbichi. Nawasilisha
Siasani si mpaka usifiwe na wenzako ndani ya chama, tukubali au kukanusha zitto ni mwanasiasa ambaye ana mvuto was kitaifa na kimataifa
Mathalani, kimataifa has a bars LA Africa ndie mwanasiasa ambaye amechukua tuzo za mwanasiasa ambaye yuko mstari was mbele kutetea maslahi ya umma, hata Julius...
Mh mwigulu ktk suala escrow umetufahamisha kuwa umewapelekea ankala
Lkn unadhani hiyo ndo njia sahihi kwa MTU aliy
Mh Mwigulu. Naomba unipe majibu ya hoja yangu ifuatayo
1. Katika sakata la escrow watuhumiwa hawakulipa kodi kwa wakati. Mpaka imefikia hatua ya ofc yako kuwabembeleza kwa...
Pasipo kumung'unya maneno muhongo ni kiongozi anayeongea ukweli unao uma na so uongo wa kutufurahisha. Ki utamaduni na siasa za tz tumeshaaminishwa kuwa siasa ni uongo na ndio tunao upenda wengu wetu. Ki msingi majibu aliyoyatoa huyu mheshimiwa hayana tofauti kabisa na ya mh rais, hivyo yeye...
Huku bado ni usanii tuu. Hawa j
Kupe wamechukua fedha toka mwaka Jana kodi inadaiwa Leo. Hv kweli ccm timamu? Wameshasahau kipindi cha wahujumu uchumi kilikuaje? Ingekuwa ni wapinzan Leo wangekuwa uraian? Hebu msifanye watz wa Leo sawa na wa Jana aisee
Taarifa.mh zitto wakati akijibu hoja za escrow scandal hasa ya mh lusinde aliliomba binge kuchunguza hiyo propaganda uliyoaminishwa.namnukuu" mh spika mm ni mwanasiasa mwenye ngozi ngumu sana... Mengi yamesemwa yakimuhusisha na mama yangu....... Naomba niadhibiwe kama mm mwacheni mama yangu...
Kikubwa nachoweza kujivunia kama mdau wa maendeleo kutokana ma mafanikio ni kitendo chs yeye kujitangaza binafsi kama WCB ambayo ni nembo take ya kibiashara lkn kubwa LA nyongeza kwetu kama watanzania ni kututangaza cc sote kama jamii ambayo ulikuwa haitambuliwi miongo michache ya nyuma. Hongera...
Mapenzi cku zote huanza na usafi wa wahusika Fanya yafuatayo
1 hakikisha mazingira ya ndani ni masafi kwa kiwango kikubwa
2 mwandalie chakula kizuri na bashssha zingne kama ubani chair ya viungo vzr
3 usisahau vzawadi vdg vdg mfano kadi nzuri kama MNA uwezo jarb kumnunulia mashat manukato
Hoi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.