Recent content by gobore

  1. gobore

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Mkuu heshima kwako. Na kama umepita siku sio nyingi hapo nadhani utakua ushaelewa upepo unasomeka vipi. Na majukumu mapya atakayopangiwa ni yapi. Heri ya mwaka mpya
  2. gobore

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi

    Men in Uniform..........ulikua unasema mens ukiwa na maana gani? Kama ni wingi umepotoka. Happy Hunting Comrade. Go get them, the only language those tangos understand better is just two taps of lead between the eyes.
  3. gobore

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Vijana wa mwanae Brig. Muhoozi wakiwa hapo New York wakimlinda mzee Museveni. Hao ni Uganda Special forces Group unit inaitwa PGB
  4. gobore

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Ngoja tuendeleze naona huu uzi ulishasinzia. Hao ni unit kutoka Revolutionary Guards wanaomlinda President Rouhani
  5. gobore

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    Mkuu hamna FBI hapo.....majukumu ya kumlinda POTUS na wale walioko kwenye sucession chain ni ya USSS. Walkuaga chini ya Treasury zamani na siku hizi ni Homeland Sec Depertment ndo boss wao.
  6. gobore

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Kikwete akizindua meli mbili za kikosi cha wanamaji JWTZ

    Mkuu heshima mbele, za masiku? Hii ni zaidi ya siasa mkuu, hii ni mambo za uchaguzi mkuu 2015 na kama umeona wanalazimisha kumtambulisha mtu kwa vijana. Hata hayo majina wameyapanga strategically kabisa. P77 na P78 Ambayo moja ni msoga nyingine mwitongo. Zina maana kabisa. Tanzania yangu wee.
  7. gobore

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akifanya mazoezi Dodoma

    Hujui hata nnachoongelea dogo, so u better keep quiet. Unadhani siyajui yote hayo?
  8. gobore

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akifanya mazoezi Dodoma

    Mkuu C.T.U kuna failure kadhaa nimezinotice hapo kwa hao close protection guys did you?? Wamevaa vibaya hadi wameshindwa kuweka baadhi ya vifaa muhimu vya kazi. Na usiniambie their only assurance/cavalry is that single CAT SUV behind, its too far from the protectee Cc. OLESAIDIMU
  9. gobore

    JamiiForums Tanzania Mkapa akataa Nishani ya Ikulu!

    Mkuu OLESAIDIMU ngoja tumezee tu haya mambo haya. Hadi nimemkumbuka comredi Ogah kuna siku tulichafua JF Photos ikabidi ipigwe chini. Wayback when JF was JF kweli, siku hizi tumekua wapita njia. Ila nimemkubali hajasahau mafunzo. Wanasema "maji hayaachi ubaridi wake, hata yachemke vipi"
  10. gobore

    JamiiForums Tanzania Mkapa akataa Nishani ya Ikulu!

    Hahaa katika picha zote kuna kitu kimenifurahisha. Kuna jamaa kaweka "arms ready" posture. Pamoja na kuwa boss bado anaact kama yuko theater na principal. Relax boss vijana wapo
  11. gobore

    JamiiForums Tanzania Komando wa kike Jeshini

    Hahaaaa mkuu salama? Tutakuja mkuu kuweka rekodi sahihi, mambo mengi kidogo
  12. gobore

    JamiiForums Tanzania Msaada Please! namna ya kuwaondoa ngedere nyumbani kwangu

    I know how it hurts Karucee..... and indeed I will come to peek kidogo tu sio sana Work is killing me over hia. Please drop that spanner girl.....from your avatar
  13. gobore

    JamiiForums Tanzania Msaada Please! namna ya kuwaondoa ngedere nyumbani kwangu

    Hey lil doll Ebwana eeehhh na we kwa majanga hujambo. Ngedere ni kero sana. Mi shambani kwangu walianza kuniletea upuuzi huo nikaanzisha ratiba ya kutoenda range nikawa naenda kuwawinda every saturday. Baada ya kupiga wawili watatu tu wote wakapotea. Hauna option kwakweli ni lazima ujivike...
  14. gobore

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For the lazy ass dudes

    Heheeee wachane mama. Bwana mwanaume fizique si unajua mtu wangu? lots love from this side
  15. gobore

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania my fiance's hooker is coming my way...msaada pliiiiiz!!!

    Kama nani?......
Back
Top Bottom