Recent content by Gne gner

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Magufuli unaanza "kutuangusha" tuliokuunga mkono na kukutetea mitandaoni, zingatia haya machache ili ututie moyo

    Hapo ndipo namkumbuka Tundu Lissu daaah aisee, inauma sana..
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UCL: Deportivo la Coruna, timu iliyowahi kufanya maajabu

    Kati ya mtoa mada na wewe nani punguani ,,mtoa mada katoa data zake lakini kwakua wewe ni punguani unabisha tu,,
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mo Salah: Mchezaji bora anayepoteza muda wake Liverpool

    Tunasafari ndefu sana ya kujua mpira hasa wabongo,,ni sehemu gani sahihi ya kila mchezaji,
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ubaguzi wa rangi? Huyu mzungu alikua na maana gani

    Naona hata wewe unaibagua tz mbona unaongea kidhungu,,hao waliokubagua ndio ndugu zako
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

    We haujui mpira,, point yako ni kuhama timu
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji ambaye atatokea katika hii dunia kama mnyama Pele the don(black mamba) record hazidanganyi

    Mchezaji bora anashea vipi tuzo na mwenzake
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Hivi ulishakaa chini nakujiuliza kweli??miaka sita isimame ili ifanye nini
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa Rama dee si waliao
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache ubishi usio na maana Messi hana entertainment yoyote uwanjani kumzidi Gaucho

    Ukitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyama
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

    Kwangu binafsi sidhani kama kuna mchezaji atatokea kama Messi
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana imenikumba, nimeshuhuudia wazazi wangu wakifanya tendo la ndoa

    [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Wapatie police,,maan police wa kipindi hiki wanagharamia mambo yote hata kama hayawahusu, .
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA mna chuki binafsi na Man United

    Shabiki wa man u huyo amesha changanyikiwa hata hajui ameandika nini
  14. G

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya ampa onyo kali Dogo Janja kuhusu mpango wake wa kuoa wake wanne

    Huyu kweli dogo mapema yote hii anataka mwingine
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji gani walistahili kutwaa Ballon D'or?

    Inaonyesha wewe ni mtu wampira,kula hiyo[emoji106] [emoji106]
Back
Top Bottom