Tuache ubishi usio na maana Messi hana entertainment yoyote uwanjani kumzidi Gaucho

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Kuna watu wabishi sana humu, wanamoverrate messi, nakubali anajua lakin Messi haburudishi kama alivyokuwa Gaucho.. Messi yeye anataka matokeo tu, Gaucho alikuwa analeta burudani yaani huku akae Ndanda Cossovo alafu huku akae Gaucho wengi watajaa kwa Gaucho kutokana na uwezo wake wa kuburudisha.

Sidhan kama patatokea wanaojua kuuchezea mpira kama Gaucho.. hawa akina Messi, Ronaldo hawana lolote zaidi ya mbio.. wakipata mpira kama duma hivi mbio golini kwenda kufunga...
 
Ukitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyama
 
Akamuulize huyo gaucho Marcelo ramos boateng buffon na wengine sio anakaa kuongelea keyboard
 
Ukitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyama
Hakuna beki aliyekuwa anataka kukabana na Gaucho bob
 
Gaucho alienda mbali na kuwa entertainer uwanjani. Messi ni fundi yuko serious.
 
Tatizo gaucho alipenda kutoka burudani zaidi kuliko kufanya kazi kazi uwanjani...

Burudani za gaucho zitakumbukwa ila si kama burudani za La Pulga na kazi kazi zake uwanjani.
 
Kabisa mkuu. Mi nilipenda sana alivyokuwa anatikisa mitako yake na kukatika utafikiri mabaamedi :D:D:D

Mfalme ni play station bwana, ni mtu wa burudani na ni mchapakazi haswaa. So hatokuja kutokea tena labda baada ya karne na karne
 
Nimelewe mtoa mada kumbe unaangalia burudani la kuchezesha viuno uwanjani kama ni burudni ya mpira Messi si dunia hii. Gaucho mwenyew anakili kua aliondoka Barcelona kwa sababu muda wake ulifika na si fitina vya Pep. Uku akisema kua tayr alikuja aliye bora zaidi yake (Messi)
 
Gaucho mwenyewe anasema Hashim rungwe ni greatest of all time
 
gaucho hana jipya zaidi ya mbwembwe ya kuuchezea mpira

ukibisha nambie ananini zaidi ya messi ronaldo

usitaje makombe hata dembele analo
 
Back
Top Bottom