Recent content by Gmwanguku

  1. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Kwenye koo langu kuna kitu nakisikia kama kimekwama sasa nashindwa kuelewa ni kitu gani

    Hali hii imenipata na mimi unaweza kunisaidia mkuu
  2. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya madonda ya kooni

    Acha kutumia tangawizi,limao pilipili na vitu vyote vichungu ndo maana huponi kwa sababu uchungu wa hivi vitu ndo unaoongeza ugonjwa Tengeneza dawa hii hakika utapona Pima vijiko vinne vya asali mbichi,rimao moja kamua mchuzi,chumvi kiasi kidogo,maji ya uvugu vugu Kisha chanyanya....tumia...
  3. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    The green city
  4. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

    Mi LY bwana wenye degree shauri yao
  5. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Tahadhari abiria wa mabasi ya Happy Nation

    Akhsante
  6. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Tahadhari abiria wa mabasi ya Happy Nation

    Hata mi nshawah kufanyiwa huu mchezo,nilikata ticket mpka tunduma nulivofika mbeya wakanifaurisha kwenye costa mbovu,dah nusura niue mtu maana roho yangu iliumia kwelkweli
  7. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums, umewahi kukumbwa na aibu gani? Mimi ni hii

    Ahaaaaaaaaaa,we noma
  8. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

    Cha kwanza alitulia cha pili alitulia cha tatu........eti ndo kashtaki ana pepo la ngono huyo binti
  9. Gmwanguku

    JamiiForums Tanzania Wapare, Wachaga: Matambiko yamepitwa na wakati

    Nakupa 100
Back
Top Bottom