Msaada wa dawa ya madonda ya kooni

swahiba Senior

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
2,479
3,613
HAMJAMBO WAPENDWA,

Nahitaji msaada wa Dawa Bora ya Madonda ya kooni (Tonses) sijui kama Hilo Jina ni sahihi mtanirekebisha..

Nimetumia Dawa zifuatazo kwa muda wa week 3 Sasa na sijapata Nafuu.
1-Ampclox
2-Pen-V(Kutafuna)
3-Cepro+Azuma

Dawa za kienyeji.
1.Maji ya moto yenye Chumvi.(kusukutua)
2.Kuchua kwa Mafuta ya Taa
3.Mchanganyiko wa Limao, tangawizi, kitunguu saumu,na Asali.
4.Majani ya Mlavumba unayatafuna na chumvi.(Majani flan machungu Sana na yanawasha na kuwa kama yanakatakata kwenye vidonda.)

Madonda hayajavimba kwa Nje yaani hayaonekani, ni ugonjwa unaojirudia Mara kwa mara, na Mara zote huwa napona kwa kusukutua maji moto yenye Chumvi na Vidonge vya ampclox Napona, Lakini Awamu hii imekuwa Tofauti Sana.

Situmia Vinywaji vyovyote vya Baridi Wala siiishi Mkoa wenye Baridi..

Msaada Tafadhali.
 
Ngoja tuwasubiri wataalamu waje
 
Sasa ngoja nikupe hitimisho ndugu,mi mwenyewe mwaka huu mwez wa nne hv nimeteseka kama 2 au 3 weeks na hako kaugonjwa ka kuumiza,inshort hiyo huwaga ni aina ya fangas hivi,wewe kanunue nystatin dawa ya kunywa halafu jitahidi karibia kila siku kula atleast machungwa mawili au maparachichi ikiwezekana.basi u gonna be well.
 
Pole Mkuu ninaweza kukutibia maradhi yako na utapona. Nitafute kwa wakati ili niweze kukutibia maradhi yako.
 
Sasa ngoja nikupe hitimisho ndugu,mi mwenyewe mwaka huu mwez wa nne hv nimeteseka kama 2 au 3 weeks na hako kaugonjwa ka kuumiza,inshort hiyo huwaga ni aina ya fangas hivi,wewe kanunue nystatin dawa ya kunywa halafu jitahidi karibia kila siku kula atleast machungwa mawili au maparachichi ikiwezekana.basi u gonna be well.
Ok
 
Pamoja na kutuma dawa za antibiotic, epuka kutuma mate chooni. Kama una tabia ya kutema mate chooni, tociles zitakuwa kwako kama Pete na kidole.
"Kalaga baho".
 
Tiba
Herbs/mitishamba
Tamarind/ukwaju (Tamarindus indica), lemon/limao ila ndimu ni bora zaidi (Citrus limon)
Remedy/maelezo ya tiba
Chemsha kidogo ukwaju na maji (sizidishe dk 15 kwa moto wa wastani) kulingana na kiasi chaukwaju subiri ipoe kisha chuja na utapata juice ya ukwaju kisha changanya na ndimu mbili kwa ujazo wa nusu lita au kama utatumia limao dogo tumia moja au nusu kama limao ni kubwa. kisha 'Gargle' ("gogomoa")

Usipopata nafuu ndani ya siku mbili muone daktari.
Nb:(maelezo yangu hayasibitishwa na tasisi ya Afya ya serikali hivyo yatabaki kua ushauri tu na sio vinginevyo)
 
HAMJAMBO WAPENDWA,

Nahitaji msaada wa Dawa Bora ya Madonda ya kooni (Tonses) sijui kama Hilo Jina ni sahihi mtanirekebisha..

Nimetumia Dawa zifuatazo kwa muda wa week 3 Sasa na sijapata Nafuu.
1-Ampclox
2-Pen-V(Kutafuna)
3-Cepro+Azuma

Dawa za kienyeji.
1.Maji ya moto yenye Chumvi.(kusukutua)
2.Kuchua kwa Mafuta ya Taa
3.Mchanganyiko wa Limao, tangawizi, kitunguu saumu,na Asali.
4.Majani ya Mlavumba unayatafuna na chumvi.(Majani flan machungu Sana na yanawasha na kuwa kama yanakatakata kwenye vidonda.)

Madonda hayajavimba kwa Nje yaani hayaonekani, ni ugonjwa unaojirudia Mara kwa mara, na Mara zote huwa napona kwa kusukutua maji moto yenye Chumvi na Vidonge vya ampclox Napona, Lakini Awamu hii imekuwa Tofauti Sana.

Situmia Vinywaji vyovyote vya Baridi Wala siiishi Mkoa wenye Baridi..

Msaada Tafadhali.
Acha kutumia tangawizi,limao pilipili na vitu vyote vichungu ndo maana huponi kwa sababu uchungu wa hivi vitu ndo unaoongeza ugonjwa
Tengeneza dawa hii hakika utapona
Pima vijiko vinne vya asali mbichi,rimao moja kamua mchuzi,chumvi kiasi kidogo,maji ya uvugu vugu Kisha chanyanya....tumia Mara kwa Mara iwe Kama ndo maji yako ya kunywa
Epuka vumbi,acha kunya soda gesi yake Ni chanzo kikuu cha tonses,punguza stress,kula ndizi kwa wingi kuliko hata chungwa ndizi mbivu zile kubwa na epuka kuongeza ongea kaa mbali na upepo
 
Chhieef umefanikiwa kupona, mje augonjwa huo huwa napona kwa kunywa kitu cha moto na kukifosi kipite kooni kikiniunguza kimtindo, siku 4 zilizopita yalinikamata niliponea kunywa tangawizi ya vijiweni, nimepiga tangawizi siku mbili mfululizo yamepotea.
 
Be cautious usikute ndo unaongeza petrol kwenye moto 🤣 🤣
 
Pamoja na kutuma dawa za antibiotic, epuka kutuma mate chooni. Kama una tabia ya kutema mate chooni, tociles zitakuwa kwako kama Pete na kidole.
"Kalaga baho".
Hzo Ni imani tu bhn wanasema ukikuta mavi ukayatemea mate bas Koo la saut itakauka utapoteza saut
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom