Ni kweli hiyo sehemu ya Academic qualifications haina option ya kudelete,nilichofanya mimi niliwapigia kwenye namba zao huduma na wao wakanisadia kudelete.
Unawapata kwa namba 0735398259 na 0784398259
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kiswahili sijui wanaitaje ila kwa Kiingereza wanaita Peaches, Iringa nao wanaita Mapindigasi sasa sijui ni Kihehe au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka sikumoja nitafutie historia ya mtu Anaitwa Godfrey Mwakikagile aliwahi kufanya kazi magazeti ya Standard Newspaper (Daily News) miaka ya 70
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na mashaka ndugu, Kama wakati unadahiliwa muongozo ulikuonyesha EE mbili ni eligible hutaguswa, wanaowasaka ni wale ambao hata hizo minimmum qualification hawakuwa nazo pamoja na waliotumia vyeti vya kutengeneza.
Tamko limetolewa tayari,Majina na vyuo wanakokwenda imetangazwa. 382 watarudi UDOM, 290 Wamebainika hawakuwa na sifa kabisa za kuwepo chuoni, walio salia wamepelekwa kwenye vyuo mbalimbali vya Ualimu kama vile Butimba TC,Morogoro TC,Tukuyu TC,Songea TC,
n.k
Bodi ya mikopo hutoa mikopo Kwa wanachuo tarajali wa vyuo vya Elimu ya juu(Wanao tarajia kujiunga na Chuo) pamoja na wale wanaoendelea na masomo mpaka pale watakapo hitimu na si kweli kwamba hutoa mikopo Kwa walio hitimu. Tunaposema waliohitimu ni wale walio maliza chuo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.