Recent content by GLUTLUS munga

  1. GLUTLUS munga

    JamiiForums cybersecurity vulnerability found in the PHP

    Niliona wametoa matoleo mapya ya php,kazi kwenu ku update server ,pengine hiyo vurn imetumika Sana na cyberthugs
  2. GLUTLUS munga

    JamiiForums cybersecurity vulnerability found in the PHP

    Duh hapo watafanya patch chapchap,tatizo si lilikuwa free after malloc
  3. GLUTLUS munga

    JamiiForums UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Duh kumbe Ni mchochezi,alipaswa kuwa na dhamana. Lakini kuhamasisha maandamano ya amani si uchochezi.
  4. GLUTLUS munga

    JamiiForums Mamia ya silaha za Hezboullah zakamatwa kwenye handaki huko Lebanon

    Duh hatari, Hii Ni funzo kwa mifumo ya kijeshi,kuimarisha jeshi kabla ya mizozo Ni Bora kuliko kupokea misaada ya makundi binafsi pale zinapotokea Vita.
  5. GLUTLUS munga

    JamiiForums Inafaa ichezewe filamu?

    UYUNU Rafiki Ambaye Haniachi Aina: story ya kisaikolojia Mhusika mkuu: Uyunu, msichana wa miaka 17 Rafiki yake: Neema 1 NDANI — DARASANI — SAA KUMI KASORO (15:50) Mwalimu amesimama mbele ya darasa akifundisha. Wanafunzi wanamsikiliza, lakini Uyunu amekaa kimya, akiwa amezama katika...
  6. GLUTLUS munga

    JamiiForums Ile shule waliojirekodi kumbe mdogo wangu kamaliza hapo, nimempigia kumuhoji kanipa ushuhuda huu

    Duh wakitoka huko wanakuwa kina equalizer tena au kina bweha.
  7. GLUTLUS munga

    JamiiForums Ile shule waliojirekodi kumbe mdogo wangu kamaliza hapo, nimempigia kumuhoji kanipa ushuhuda huu

    Duh accounts wa baadaye hao,hakika nyavu za kichujia zipunguzwe ukubwa
  8. GLUTLUS munga

    JamiiForums Natafuta mshirika

    Asante . Nattafuta mshirika wa kuanzisha na kuendeleza mradi pamoja. Nilipendelea mtu wa Mwanza kutokana na changamoto yangu ya gharama za intaneti, lakini niko tayari kujadiliana kuhusu ushirikiano wa mbali.
  9. GLUTLUS munga

    JamiiForums Natafuta mshirika

    Habari . Natafuta mtu mwenye ujuzi wa programming aliyepo Mwanza kwa ajili ya kushirikiana kutengeneza software na kugawana mapato. Nina miradi niliyoifanyia kazi na nataka tushirikiane kuendeleza miradi yenye fursa za kibiashara. Email yangu glutlusosgiants@gmail.com
  10. GLUTLUS munga

    JamiiForums Natafuta kijana mwenzangu programmer tusaidiane

    Aisee vipi nafasi ipo bado ndugu,naelewa Microsoft kernel Language c+nasm.
  11. GLUTLUS munga

    JamiiForums Kati ya A au B, unapendelea kutumia mbinu ipi,kwanini?

    Vipi umepata handle ya target process na base address Kisha ukafanya ntreadvirtualmemory Na number of bytes to read ni 50 Kisha buffer yako ika jazwa data unayo hitaji vipi ukijaribu kusoma hiyo buffer zaidi ya byte 50,Nini kitatokea?
  12. GLUTLUS munga

    JamiiForums Kati ya A au B, unapendelea kutumia mbinu ipi,kwanini?

    (A)mystruct data[100]; (B)mystrct data=(mystrct)malloc(sizeof(mystrct)*100);
  13. GLUTLUS munga

    JamiiForums Mikasa ya ndege kubwa kubwa

    Na slats za left wing
  14. GLUTLUS munga

    JamiiForums Mikasa ya ndege kubwa kubwa

    Kwahiyo central tank na mifumo yote ya hydraulic ikawa hatarini,?
  15. GLUTLUS munga

    JamiiForums Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa

    Sasa si waweke kitengo Cha kutoa pf3 mahospitalini zote Ni sekta za seeikali
Back
Top Bottom