Recent content by Glivec

  1. G

    Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    yaani jamaa yangu alikuja room kama kachanganyikiwa hivi. the lady was beautiful enough and kind kiasi cha mtu kutofikiria mara mbili mke wa kuoa akiwa naye. lakini ndio hivo wazuri huwa hawakutani na walio serious wanaishiaga kuchezewa tu na wao kukata tamaa.
  2. G

    Msaada: Kuhusu Advanced Diploma in Clinical Medicine na Advanced Diploma in Nursing Education

    dogo nenda kasome MD. achana na kozi ambazo zipo Tanzania tu. hao AMO wanafukuziwa vijijini sasa hivi. tafuta chuo unasoma MD. bado kijana mdogo AMO anatakiwa kwenda mtu ambaye umri umemtupa na hawezi kuvumilia miaka 5
  3. G

    Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    huyu jamaa alimtongoza huyu dada wanavyofika chuo first year akakubaliwa na akawa mpenzi wake. dada alikuja kujitoa baada ya kuona jamaa ni mwezi, mgomvi na mvuta bangi. in short jamaa alikuwa anashinda block G pale. msela baadaye akawa analazimisha warudiane na huyo dada ila akatoswa...
  4. G

    Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    huyu dada nakumbuka alikuwa very beautiful na alishakuwa kwenye mahesabu ya wengi enzi hizo block C. alikuwa mpole, mrefu aliyeumbika na haiba fulani ya kimama sio kimchepuko. kuna jamaa yangu alikuwa amedhamiria akimpata anaoa. tulisikitika sana kuambiwa X wake kamchoma kisu na bahati...
  5. G

    Mume wa mtu ananipa wakati mgumu

    mbinafsi tu wewe. wanawake lazima mkubali kuwa mko wengi kwa hiyo wengine watakuwa mchepuko na wengine wake wenza. hii ipo kabla hata ya uhuru wa tanganyika. hakuna kitu cha peke yako
  6. G

    Ushauri tafadhali kuhusu wakwe kuongea kilugha

    unapokubali kuchanganya kabila haya mambo hayakwepeki. mimi huwezi ukanifanya nianze kumtesa mama yangu kuongea kiswahili wakati hakijui. kuna vitu ni vyepesi tu. jifunze hata cha kuombea maji
  7. G

    Ushauri tafadhali kuhusu wakwe kuongea kilugha

    wanawake msijifanye hakuna mnachojifunza na kung'ang'ania kujifunza kupaka rangi kucha tu. wewe kujifunza lugha ya ukweni inakushinda nini?? mbona ukiwa na wa kwenu unaongea cha kwenu??
  8. G

    Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    mwanamke akiwa hujielewi ni bora ubebe mzigo wa kulea watoto tu. maana yeye ni mzigo mkubwa unasababisha watoto wanakosa huduma nzuri. usikute hela zenyewe anakopa na kuhonga wanaume au kuonesha kijijini kwao kuwa yeye ana hela huku mjini
  9. G

    Wife ameikimbia nyumba sababu ya madeni, nifanyeje?

    kuna wengine wanakopa aaafu wanakula na ndugu zao. sasa mimi ntahusikaje kulipa!?? akili za wanawake wengine wanazijua wenyewe. ukute kwenye hizo biashara zake hakuwahi hata kununua chupi ya mtoto. mtu unamkataza asichukue mkopo na yeye anang'ang'ania huyo ukimuacha na madini yake atakulaumu??
  10. G

    Siri ya kwanini madaktari huvaa koti jeupe

    siku hizi hata waganga wa kienyeji wanavaa tu.
  11. G

    Kaomba kuwa baba wa kijacho

    wanawake huwa hawajielewi nini wanataka. ukifuatilia mambo ya wanawake unaishia kulazwa wodi ya vichaa
  12. G

    Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

    sheria ya manunuzi hairuhusu kulipa zaidi ya asilimia 90 kwa mtu ambaye haja fanya kazi.
  13. G

    Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    nadhani hii ngoma ni nzito kuliko uwezo wake ndio maana pamoja na kuwa waziri wa wizara husika kashindwa kuzuia habari zisivuje
Back
Top Bottom