Recent content by Glasnost

  1. Glasnost

    Leo nimemuona mama Maria Nyerere bado yupo imara

    Naona una furaha sana mpaka muhindi(Tanganyika) amekuwa mzungu.
  2. Glasnost

    Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

    Mwandishi bado hajapona. Maelezo yake ni ya mtu mwenye upungufu wa afya ya akili
  3. Glasnost

    Nawatakieni Heri ya Kumbukizi la Uhuru wa Tanganyika

    Ila Tanesco umeme wamekata
  4. Glasnost

    Rais Samia Unadanganywa!

    Hajadanganywa hata kidogo. Hofu yake ni urais, na jinsi upinzani inavyotumia "fursa" ya 4Rs kujijenga.
  5. Glasnost

    TANZIA Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko afariki dunia

    Miaka inasogea sana. Mara ya mwisho kumuona pale TSN Samora Avenue na kina Msimbe,Tambwe miaka 15 iliyopita. RIP
  6. Glasnost

    PreGE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

    Hata mimi bado sijaelewa. Kama kosa ni kumuaga kwa tangazo.
  7. Glasnost

    Historia ya jina la Yanga

    Ya kweli haya? ushabiki hauna daraja
  8. Glasnost

    Historia ya jina la Yanga

    Una utani na Wazaramo sio?
  9. Glasnost

    Historia ya jina la Yanga

    Bado sijapata jibu
  10. Glasnost

    Historia ya jina la Yanga

    Habari, Kwa muda mrefu sasa nimejaribu kufahamu na kujua chimbuko na historia ya jina YANGA lakini sijapata jibu. Pia napata tabu kujua tofauti kati ya Yanga na Young Africans kutumiwa na timu moja katika matukio ya mechi za kitaifa na kimataifa. Basi kwa faida yangu nitafurahi kujua zaidi...
  11. Glasnost

    Mzee Mshume Kiyate, hii ndiyo historia yake katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Jina namba 9 upande wa waasisi wa TANU 1954 kwa usahihi ni Suleimani Kitwara. Mwenyeji wa Musoma.
  12. Glasnost

    Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Sijaona Habari za uhusiano wa Wahima na Usukuma Kama ulivyochambua kwa baadhi ya makabila au jamii hapo juu.
  13. Glasnost

    Qatar kuwafukuza HAMAS kutoka kwake kama hawataisikiliza

    Kwa darsa la chapuchapu Israel imekuwa nchi 1948 tena kwa vita. Go back to school
Back
Top Bottom