Qatar kuwafukuza HAMAS kutoka kwake kama hawataisikiliza

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Jamaa wamekomalia misimamo mikali huku wakiishi maisha mstarehe kwenye majengo ya kifahari Qatar, ilhali kule Gaza wenzao wanapokea kichapo kila siku, Qatar imeanza kuonyesha dalili za kuwatimua......

According to Egyptian and Hamas officials, Qatar has threatened to expel Hamas officially from their base in Doha if they don't come to an agreement, but Badran denied this claim.
That being said, he stated that Hamas's official position is still a permanent ceasefire and allowing displaced Gazans to return to their homes.

As far as the negotiation process goes, he revealed that the discussion of swaps of Israeli hostages for Palestinian prisoners has taken a back seat to relieving the humanitarian situation and ending the fighting.
 
Akili za kipuguani yaani Israel Marekani na Uingereza wamekaa wamejipangia upuuzi wao eti vita visimame wiki 6 kisha wanaambia Hamas, wajinga sana wanasema hawasimamishi vita mpaka wawamalize Hamas kikowapi?

Waendelee kuuwa watoto na kushambulia kambi za wakimbizi waone kama watawapaata mateka wao.

Qatar anahusika nini hapo hawana uwezo wa kuwalazimisha Hamas, Qatar na Misri wamewambia misimano wa Hamas ni huu hapa kufuata au kuendelea na vita.
 
bas hatutak kelele
 
Mbona jazba ostaz ni vizuri viongozi wa hamas wawe na misimamo wakiwa hapo gaza na familia zao
 
Akili za kipuguani yaani Israel Marekani na Uingereza wamekaa wamejipangia upuuzi wao eti vita visimame wiki 6 kisha wanaambia Hamas, wajinga sana wanasema hawasimamishi vita mpaka wawamalize Hamas kikowapi?

Waendelee kuuwa watoto na kushambulia kambi za wakimbizi waone kama watawapaata mateka wao.

Qatar anahusika nini hapo hawana uwezo wa kuwalazimisha Hamas, Qatar na Misri wamewambia misimano wa Hamas ni huu hapa kufuata au kuendelea na vita.
Nyie ni red devil mnatamani kuona wapalestina wanafuatwa na Israel.
 
Akili za kipuguani yaani Israel Marekani na Uingereza wamekaa wamejipangia upuuzi wao eti vita visimame wiki 6 kisha wanaambia Hamas, wajinga sana wanasema hawasimamishi vita mpaka wawamalize Hamas kikowapi?

Waendelee kuuwa watoto na kushambulia kambi za wakimbizi waone kama watawapaata mateka wao.

Qatar anahusika nini hapo hawana uwezo wa kuwalazimisha Hamas, Qatar na Misri wamewambia misimano wa Hamas ni huu hapa kufuata au kuendelea na vita.
Tatizo unaongea kwa mihemko sana,Viongozi wa HAMAS wanaoratibu hii vita wako Quatar wanakula vizuri,kulala vizuri etc. halafu wao ndo remote controller ya wenzao wanopigana,wanahatarisha maisha yao na wanasababisha raia wasio na hatia kufa.

Quatar amewaambia wachague moja kusitisha vita au na wao kutoka Quatar waende kwenye vita ndo wataona uchungu wa wanachofanya.
 
Israel has no authority or mandate to dictate what's happening. The world's experiencing Genocide and world leaders are mute not because they don't know but simply out out empathy, stupidity and long philosophy and ideology embedded in their school of thoughts. We must not keep quiet or be afraid of speaking the truth Israel is a "baby" that needs to be put in a right position. FREE PALESTINE, new nation. Word!
 
uislam ni ushetan , na uislam ndo dini pekee inaruhusu UONGO , UNAFIKI na MAUAJI , sasa waislam hawakumbuki kilichofanywa na HAMAS mwaka 2023 oct 7
 
Kwa darsa la chapuchapu Israel imekuwa nchi 1948 tena kwa vita. Go back to school
 
Akili za kipuguani yaani Israel Marekani na Uingereza wamekaa wamejipangia upuuzi wao eti vita visimame wiki 6 kisha wanaambia Hamas, wajinga sana wanasema hawasimamishi vita mpaka wawamalize Hamas kikowapi?

Waendelee kuuwa watoto na kushambulia kambi za wakimbizi waone kama watawapaata mateka wao.

Qatar anahusika nini hapo hawana uwezo wa kuwalazimisha Hamas, Qatar na Misri wamewambia misimano wa Hamas ni huu hapa kufuata au kuendelea na vita.
Sasa kwa akili finyu mateka wapo wangapi hata wakifa dhidi ya wangapi wanaouawa kila siku
 
Israel has no authority or mandate to dictate what's happening. The world's experiencing Genocide and world leaders are mute not because they don't know but simply out out empathy, stupidity and long philosophy and ideology embedded in their school of thoughts. We must not keep quiet or be afraid of speaking the truth Israel is a "baby" that needs to be put in a right position. FREE PALESTINE, new nation. Word!
Acha colonial mind kwani ukiandika kwa kiswahili utapungukiwa Nini ostaz?
 
Back
Top Bottom