Recent content by glamour

  1. G

    JamiiForums Tanzania proffessional maids 4 hire1 pata personal maid

    kwa bachelors na wenye familia, kama unataka huduma ya kufanyiwa usafi, kufuliwa na kupasi, tupigie 0715808038 au tuma barua pepe; lcmakoi@gmail.com. tuna wasichana, vijana wa kufanyakazi za ndani na kuondoka. kama unataka usafi mara mbili kwa wiki ni shilingi 50,000 kwa mwenzi, kama ni kila...
  2. G

    JamiiForums Tanzania tunapika na kudeliver vyakula vya diet

    unapata. jaribu 2 weeks, kama hautapungua
  3. G

    JamiiForums Tanzania tunapika na kudeliver vyakula vya diet

    sio fiksi mwana, tunakupa diet na usipo cheat hiyo diet na ukafanya mazoezi walau kutembea dk 30 kwa siku, tunakuahidi, in 2 weeks utapunguza kilo 9. ipo Dar pekee.
  4. G

    JamiiForums Tanzania tunapika na kudeliver vyakula vya diet

    Edgepont Dieter's ni club ya kupungua mwili ambayo hupika vyakula vya diet na kukuletea nyumbani au kazini. Breakfast, lunch na dinner ni kwa shilingi 8,500/= tu. Tuna 'Edgepoint 14 day diet' ambayo utapunguza kilo zaidi ya 9 ndani ya wiki mbili. Diet yetu ni rahisi na sio ya kukutesa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao?

    sasa si nampenda mtoto wetu jamani?!! maana most men hawana hiyo karama ya kumuonyesha mtoto mapenzi yakutosha. to them mapenzi kwa mtoto nikumpatia mahitaji, mama kazi yake ni kumpa mtoto physical na emotional love
  6. G

    JamiiForums Tanzania hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao?

    hahahhahahahahahhah! eti kensa..umenichekesha! nenoo
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuzaa baada ya 40's!! Inakuwaje?

    aisee...not wise. mtoto akiwa chuo wazazi washazeeka mbayaa
  8. G

    JamiiForums Tanzania hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao?

    im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe? mtu anakuzalisha alafu ukisha haribika mwili, anatafute waschan wadogo, inauma sana. au wanadhani wao hawa haribiki? hata wanaume hupata kitambi na kua na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania kama ndoa ni ngumu, y watu wanaendelea kuoa na kuoana?

    its no doubt kua ndoa inaugumu wake, tena sana tu...knowing that, y watu hawaachi kuoa na kuoana? maisha ya mahusiano raha tupu, mkishindwana mna bwagana. ila ndoa!!!
  10. G

    JamiiForums Tanzania sale of used furniture/ samani zinauzwa

    nina refurnish my house, hivyo kuna fenicha nauza. used sofa - 55,000/=, coffee table and stools - 100,000/-, 4 sitter dining table - 290,000/=, ward robe/kabati la nguo 4doors- 250,000/=
Back
Top Bottom