hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by glamour, Feb 2, 2012.

 1. g

  glamour Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  im really curious, kwanini wanaume huwachoka wake zao na kutafuta kazi za nje? kama wanawake tunaweza kuwa waaminifu kwanini nyie mshindwe?
  mtu anakuzalisha alafu ukisha haribika mwili, anatafute waschan wadogo, inauma sana. au wanadhani wao hawa haribiki? hata wanaume hupata kitambi na kua na mwili mbaya but wanawake huvumilia na kuendelea kumpenda.
  kuna solution ya hili, kumfanya mwenzako asikuchoke?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Duuu mbona ushatoa majibu,kwamba ashakuzalisha na kukuaribu so unategemea nini? Zamani ulikua still picha na mnato sasa umekua bwawa unadhani kuna flavor,lazima atafute dogo mbichi akonge roho yake kama vp jimantain ndio solution.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Wanawake wanapenda kuchokozwa, wanafurahi
  Usipowachokoza wananuna

  BTW, kuzaa si lazima uchoke
  Mtoto akifikisha miaka 2, rudi kwenye mstari, acha kunywa mtori kisadolini

  Wale wa nje wanajijali, hata wakizaa wanapiga mazoezi
  Afu kupiga kazi za nje inaleta u-expert
  Si unaona hata ukienda kufanya kazi hapo kongo tu unaanza kulipwa kwa madolari?

  Uwe mbayuwayu, uchanganye na zako
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Thread zingine kwa kweli. Unacheka weeee, halafu unajiendea zako huku michozi ikitiririka. Loh!
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  wape wape vidonge vyao,wakimeza wakitema ni shauri yao..............................
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unapo sema wanaume in the percentage watakuwa wangapi vile? Mana kuna kosa kusema wanaume, mana kosa lako hapo mpaa baba yako atakuwa yupo kwenye hesabu zako ...unless uweke wazi kwa kusema baadhi ya wanaume.
   
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nitaanzisha Booty camp wanawake wote wenye haya matatizo wawe wanaenda wiki 6 mnapata ushauri nasaha na mazoezi mnakurupushwa alfajiri 5:00 kufanya mazoezi na hamna kulala mapema ni activities hadi 22:00 hrs ku maintain miili na kuongeza confidence.
   
 8. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani mwanaume unapenda kitambi au ***** yake ambayo huwa haiharibiki.
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli kuna wanawake wanajua kujiachia,alikuwa mrembo akishaolewa hata kuoga ni kwa kulazimishwa.
  na mwanamke ukishapigwa gap na uwanja wa nje imekula kwako
  kuna mama mwenye nyumba yangu mume wake ni boss ofsi flani huko town yaani ukimcheki hzo kucha tu utazimia,anadai eti mumewe anarudi saa tisa usiku
  sasa sijui anataka awai kwa lipi while mtu hadi saa nane usiku hajaoga
  anadai eti vipodozi vina kensa
  sasa mumewe anakula venye kensa basi
   
 10. m

  mtuporimtupori Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tatizo mkizaa mapenzi yoooote mnahamishia kwa watoto. Unategemea nini?
   
 11. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kanuni ya maumbile itakuambia hakuna mtu mwenye kuridhika akishazoea kitu.Ni suala la kuushinda moyo tu. Kuna wanawake wengi tu warembo na waume zao hupiga kazi za nje kama kawa. Kuna wanaume wazuri na wema, na wake zao hupiga kazi za nje vile vile.
  Hivyo vingine ni visingizio tu.Hujawahi ona mwanaume ana mke mrembo kama nini tena mwenye vigezo vyote and still mumewe anautembeza hadi unashangaa tena na wanawake wa hovyo kabisa.
  Mtatafuta majibu na hamtakaa muyapate.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Utility theory inahu!
  Sasa asipoamsha pupa ya mumewe imekula pande yake

   
 13. g

  glamour Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahhahahahahahhah! eti kensa..umenichekesha! nenoo
   
 14. g

  glamour Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa si nampenda mtoto wetu jamani?!! maana most men hawana hiyo karama ya kumuonyesha mtoto mapenzi yakutosha. to them mapenzi kwa mtoto nikumpatia mahitaji, mama kazi yake ni kumpa mtoto physical na emotional love
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Hulka ya mtu, ushetani kumchoka mkeo adhabu yake kubwa sana kwa mola wetu!! Solution: uliombee/hata dawa ikibidi life uume , then halitakwenda huko!!!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu wengi ukipita mwaka baada ya kuolewa au wakishazaa wanabweteka. Wanadhani ndio mwisho wa kupendeza, kujiremba, kuongea taratibu, kudeka, kumbembeleza mume n.k
  Maisha yanakua kama jeshini. . . amri na malalamiko ndio vinatawala. Ikishakua hivyo hata hamu ya kurudi nyumbani mume anakosa.
   
 17. ram

  ram JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Umesema kweli kabisa Lizzy, wamama wanajisahau sana jamani, ndo sababu mimi huwa nasema nyumba ndogo haziwezi kwisha

   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni moja mwanamke akisha olewa basi mambo yote anasahau ubunifu n.k ndo maana inafika kipindi mme anamchoka mwanamke
   
 19. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Hii kwa wanaume wa kiafrika ni nature, ukiangalia mila za makabila mengi africa ilikuwa wanaume wanaoa wake zaidi ya mmoja, mimi babu yangu alikuwa na wake watatu. Mpaka wazungu walipokuja na kutuambia haya ni mambo ya kishenzi, lakini bado dam ya wanaume wengi wa kiafrica ina vinasaba vya kuwa na wake wengi ndio maana ule mpango wa nyumba ndogo hautaisha kirahisi. mtuvumilie tu akina mama lol
   
 20. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Babu yako mwanaume na siku hizi kupata wanaume kama hao ni tabu sana, yani wanaume wa siku hizi wanavyo ogopa wanawake we wacha tu....tumebaki wachache tunao weza kuwa kama babu yako na babu yangu :biggrin:

  Wewe wacha kudanganyika eti wazungu....Mzungu angekuwa na akili angetembea na mavi kwenye full sute yake, mzungu mpaa leo anachamba kwa kutimia karatasi badala ya maji :biggrin:
   
Loading...