kama ndoa ni ngumu, y watu wanaendelea kuoa na kuoana?

glamour

Member
Jan 5, 2011
13
7
its no doubt kua ndoa inaugumu wake, tena sana tu...knowing that, y watu hawaachi kuoa na kuoana? maisha ya mahusiano raha tupu, mkishindwana mna bwagana. ila ndoa!!!
 
Nani anakuambia ndoa ngumu si wehu tu ndo wanasema vile.

 
Hivi huu msemo wa ndoa ni ngumu nani kautoa
na ndoa ni ngumu kwa kivipi
Ni nini ambacho ni kigume kwenye ndoa
na kwa nini huyo anayesema ndoa ni ngumu asiulizwe amefanya utafiti kwa ndoa za nani na nani
isije ikawa anazungum zia ndoa yake kwa kufananisha na ndoa za wengine na kusema ni ngumu
 
...Wengi wanadai pamoja na ugumu wake ambao umeongezeka sana miaka ya karibuni bado ni bomba sana ukilinganisha na ukapera.
 
hakuna ndoa ngumu. Ila ups n downs ni kawaida! Jinsi utakavyo-deal navyo ndivyo utakapofanya ndoa iwe ngumu au nyepesi
 
Na anaesema ndoa sio ngumu amefanya utafiti wa ndoa ngapi mpaka aseme ndoa sio ngumu?
 
Tatizo la baadhi ya watu wanaingia kwenye ndoa just for fashion unatarajia hii ndoa itadumu kweli? mmekutana club kesho yake ndoa tarajia maudhi tuu katika ndoa yako
 
Tatizo la baadhi ya watu wanaingia kwenye ndoa just for fashion unatarajia hii ndoa itadumu kweli? mmekutana club kesho yake ndoa tarajia maudhi tuu katika ndoa yako

hawataki kukubali ukweli halisi na ndo maana wanakuja na maelezo kuwa ndoa ngumu
Up and down zipo na huwezi kuwa na glass zisigongane ila biashara ya kusema kuwa ndoa ni ngumu haipo bana
hiyo ni kwa watu wanaojaribu kujustify mambo yao ndo maana wanakuja kuishia kusema kuwa ndoa ni ngumu
 
Back
Top Bottom