Recent content by glamek

  1. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Acha uzushi picha ulizotumia sio halisi. Ukweli ni kwamba magufuli amepata aibu kubwa arusha Leo. Hakuna watu pamoja na kwamba amekwenda na cc mzima ya chama chake
  2. G

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Taarifa za kichochezi wapelekee Hao Hao waliokutuma waambie hukutukuta.
  3. G

    JamiiForums Tanzania CCM siipendi Lowassa simwamini

    Acha woga ndugu chagua mabadiliko. Usichague usichokipenda.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Mbona tayari mambo hadharani? Kuwa ni nani aliekuwa nyuma ya twaweza na picha zipo?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Eti tumeambiwa? Basi na Sisi hatutaki kuambiwa tunataka kuona wenyewe
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Acha kupanic
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ikulu si pango la majambazi na wezi

    Mbona hukusema Haya yooote hapo Kabla? Baada ya kuhama chama Ndo amekuwa muhujumu uchumi? Kumbe ccm Ndo mnalea ufisadi na uhujumu uchumi? Wako wangapi huko mbona hamsemi au mnangoja wahame chama Ndo muwaseme? Acheni siasa za chuki mmeshamkataa achaneni na mzee wa watu mnamwandama wa nn sasa?
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, nitaoa mwanamke tajiri

    Kama ulichukia na kuumizwa na wale wanawake wa mwanzoni ambao walikukimbia kwasababu hukua na mshiko , basi na wewe usifanye makosa yale yale. Yaani walikukimbia wakati hukua na kitu sasa umepata na wewe unawakimbia so huna tofauti nao unawalaumu bure tu. Muombe Mungu akuongoze acha kiburi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Milioni 300 alizopewa na Edward Lowasa zaendelea kumtesa Kingunge Ngombale Mwiru

    Huyu mzee amesema ukweli. Naona mlela hoja kimemuuma sana kwa mzee kuanika ukweli ulivyokuwa. Ni viruzi kuukubali ukweli hata kama inauma ili upate kupona. Watanzania wengi tumejengwa katika msingi mbovu sana wa kuamini mambo ya kizushi kuliko ukweli. Hata mtu akijitokeza na kutuambia ukweli...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Mkuu Naomba nitumie Hiyo softcopy ya joyce meyer
  11. G

    JamiiForums Tanzania Endomestritis: Naombeni msaada Madaktari

    Mwenye tatizo la pcos ni kwamba tatizo linatibika kabisa ila inahitaji uvumilivu na ushirikiano wa kutosha na mkeo. Pili - dont go for cheap treatment or cheap hospitals. 3. Umri wa mkeo vipi?
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Pole Dada kwa mitihani ilokupata. Ushauri wangu muombe Mungu Kwani yeye peke yake Ndo anaweza kumbadilisha mume wako. Kila ndoa ina mapito yake. Na pia hilo tatizo lako linatibika kabisa. Kuna daktari nafahamu anaweza kukusaidia na ukapona kabisa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

    Kama uvumi huu ni kweli basi kuna mambo mawili nayaona :- either huyu rose alifuta watu na sio Mungu wa kweli. Inasikitisha kuona kwamba kwa miaka yote Hiyo ya utumishi wake hakuweza kumjua Mungu wa kweli Yaani YESU KRISTO. Najiuliza alikuwa akimtumikia Mungu yupi? Jambo la pili ni kuwa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

    Mleta uzi huu huna unachokijua zaidi umbea tu. Eti hajakutuma sasa kama hujatumwa umeandika Haya ya nn kama sio chuki ti na kupenda umbea? Wewe inavyoonekana ndio wale wale
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Mkuu pole sana kwa hayo matatizo. Ni kweli umesema hutaki ushauri wowote kwenye hili lakini hakuna mtu atakaesoma stori yako then akae kimya. Inaumiza sana. Mm nadhani Mpe mkeo huduma stahiki hadi apone kabisa then unaweza kumpa msimamo wako. Lakini sio vizuri kumwacha wakati huu ambapo ni...
Back
Top Bottom