Recent content by gkiwango

  1. gkiwango

    Xbox one mpya inauzwa bei nzuri

    Yeah hii Ndo Toleo la hivi Karibuni
  2. gkiwango

    Xbox one mpya inauzwa bei nzuri

    Nauza Microsoft XBOX ONE Mpya, Haijawahi kutumika, Ipo na kila kitu ilichokuja nacho. Bei ni Tsh 650,000/= Mazungumzo yapo. Kwa maelezo zaidi ni PM au Nipigie
  3. gkiwango

    Download Torrents using IDM at UNLIMITED SPEED

    Kuondoa hiyo message nenda katika Installation folder la IDM rename "IDMGrHlp.exe" kwenda "IDMGrHlpOLD.exe" na "idmBroker.exe" kwenda "IDMGrHlp.exe" utakuwa umemaliza kazi.[/FONT][/SIZE]
  4. gkiwango

    Finally Huawei E303 unlocked

    Jaribu hapa
  5. gkiwango

    Msaada huawei e303s-02 hilink

    Kupata Maelezo jinsi ya ku unlock au ku flash Huawei E303 Hi Link za Vodacom Tanzania nenda HAPA
  6. gkiwango

    Kokotoa hesabu ii

    Jibu ni 79
  7. gkiwango

    kwa laptop zinazotumia sim card

    Kuwa na SIM card slot haitoshi, hiyo itafanya kazi kama una card ya wireless mobile broadband. Kama hiyo card ipo then unatakiwa uweke drivers, kumbuka asilimia kubwa huwa hazina hiyo card.
  8. gkiwango

    Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

    Pamoja sana mkuu, asante kwa kuleta Feedback.
  9. gkiwango

    Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

    Thanx Mkuu Kwa kuleta Feedback nzuri. Hope hizo changamoto zitawasaidia na wengine.
  10. gkiwango

    jifunze kusearch topic za jamiiforums na tips nyengine za kusearch

    Nyongeza katika Google Advanced Search Hizi ni Baadhi Google Operators ambazo ni muhimu Kwa wale ambao Hawazifahamu inurl hii inakuwezesha kusearch sites ambayo ktk url kuna keyword unayotaka. mfano nataka kusearch site ambazo ktk url kuna neno tanzania unandika inurl:tanzania Mifano mingine...
  11. gkiwango

    jifunze kusearch topic za jamiiforums na tips nyengine za kusearch

    Click No 1 ktk post zote unazotaka kuzi Quote. Then click no 2 ktk post yoyote.
  12. gkiwango

    Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

    Nenda hapa https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/402493-finally-huawei-e173-airtel-unlocked-flashed.html
  13. gkiwango

    Window 7 recover tatizo msaada

    adata5 Jaribu kuingia ktk Advanced Boot Options kwa kubonyeza F8 wakati window inaanza kuload then nenda Repair your Computer then System Restore Ikishindikana unaweza tumia cd yoyote ya window 7 huwa inakubali.
  14. gkiwango

    Aina gani ya socket switch itanitanifaa kwa matumizi haya?

    Ok nimekupata sasa tatizo lako litakuwa kati ya Haya hapa(Assumption: Unatumia Immersion Type water Heater) 1.Heater itakuwa inatumika mda mrefu na ku draw current kubwa kupita uwezo wa socket, na hivyo kusababisha heat ambayo inmelt hiyo socket 2.Socket haishikani vizuri na plug na hivyo...
  15. gkiwango

    Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

    Fanya Installation upya kama umeshindwa, Tumia hii hapa
Back
Top Bottom