Bashungwa anaupiga mwigi sana moaka unamwagika
Hata ungekuwa ww waziri usingeweza kuajili watu wrote
Watu wameomba 123000+ nafasi ziko 9800 tu
Hebu piga hesabu hapo ungekuwa ww ni waziri hapo ungeajili wangap na kuacha wangap mtaani
Hata angekuwa baba ako ndio anapanga hizi ajira bado watu...
Wakuu habari
Kwa anayefahamu vzr mazingira ya karema secondary (katavi region) anielekeze yako VP
Shule INA advance au in O'level tu?
Kwa mtu anayetokea dar, njia rahisi na nzuri kufika ni ipi, kupitia mbeya au tabora?
Asante
Habari wakuu
Kwa wakazi wa DAR ES SALAAM
Nauza nyama ya ng'ombe kwa kupokea oda kuanzia kilo 10.
Delivery free mpaka kwa mteja
Malipo. mpaka mzigo unapofika kwa mteja
Bei ni 7000 kwa kilo
Taasisi kama shule, migahawa, hoteli na kwa mahitaji ya nyumbani karibuni tufanye kazi
Napatikana...
Habari wakuu
Kwa wakazi wa DAR ES SALAAM. Nauza nyama ya ng'ombe kwa kupokea oda kuanzia kilo 10.
Delivery free mpaka kwa mteja. Malipo. mpaka mzigo unapofika kwa mteja
Bei ni 7000 kwa kilo
Taasisi kama shule, migahawa, hoteli na kwa mahitaji ya nyumbani karibuni tufanye kazi
Napatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.