Recent content by Gitaa

  1. G

    JamiiForums Tanzania I am seeking a job

    Unajifunza kutumia JF? Au ni attention?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Email ya HR wa Stamigold

    Ushauri, ukiikosa. Ingia mtandaoni, tafuta official website, ukipata hata jina la muhusika ingia Linkedin mtafute
  3. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mgodini Geita

    Fuatilia Orecorp ndio wamiliki
  4. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mgodini Geita

    Kwenye plants au mialo unaweza kupata
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi lakini nahisi kama nimeshafukuzwa

    Duh! Pole sana mkuu. Hii hali inanitokea hata mimi.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Sidhani kama hili linawezekana. Maana nafasi zilikuwa 294, walioitwa Oral ni 465. Sasa kama wameshindwa kupata watu 294 kati ya 465 itakuwa ajabu. Labda kama wanaongeza nafasi.
  7. G

    JamiiForums Tanzania It is time to Change your mind

    This is a very nice copy just lacking a product to sell. Bravo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Macho Ulaya, masikio China

    Sijasema tununue wachezaji wa ulaya kama umesoma vzur ila nmeongelea sera ya sokka la vijana
  9. G

    JamiiForums Tanzania Macho Ulaya, masikio China

    Kumbuka kuwa urusi na marekan hawakuwa na sera ya taifa kama hawa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Macho Ulaya, masikio China

    Asante ndugu nijaribu kupata nafasi ya kufikisha kwenye gazeti
  11. G

    JamiiForums Tanzania Macho Ulaya, masikio China

    MACHO ULAYA, MASIKIO CHINA. Umewahi kuona mtu anaangalia Tv huku anasikiliza redio? Hapo utakuta sauti ya Tv iko chini sana. Hii ina maana kuwa anapenda kutazama kinachooneshwa lakini pia hataki kupitwa na kinachotangazwa redioni. Bahati mbaya ni kwamba hauwezi kuwa unasoma gazeti, unaangalia...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Mhe.Malinzi wakati unagombea urais sera yako kubwa ilikuwa soka la vijana, iliishia wapi hili suala??mikakati ikoje kuhusu timu ya u13?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Televisheni ya Star TV yatuhumiwa kuchochea vurugu kwa kumkashifu Edward Lowassa

    Jaman mbona inafahamika kuwa vyombo vya habar vingi ni kama vimenunuliwa wakati huu,TbC star tv wako CCM itv wako kwa Lowassa tang mwanzo inafahamika kuwa Mengi yuko upande huo kwan hyo sio biasness??uktaka fairness soma Raia Mwema tu ndo iko fair
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

    Mkuu hzoni point tupu
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Ukinywa mkojo huku maji yapo unakuwa lofa wa level ya Phd
Back
Top Bottom