Natafuta kazi mgodini Geita

Jimmy son

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
707
1,291
Habari ndugu zangu,

Mimi ni kijana wakitanzania naishi Kanda ya ziwa,natafuta kazi maeneo ya mgodini,elimi yangu ni chuo kikuu. Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka miwili.

Naweza fanya kazi kama mkemia au operator, umri wangu miaka 27
 
Mkemia wa f6 wapi na wapi! Nenda lwamugasa kwenye maplant ya matajiri wa katoro utapata kazi mapema sana.

Siku "ukihila" tukutane bukengwa tugonge vitu vya mkemia
Mkuu naweza pata kazi huko nikiwa sina ujuzi wowote?
 
Opundo, utapata kama unaweza kushka sululu. Uwe na nguvu tu na akili kiasi, hata wenye akili tmamu bangi, pombe kali na umalaya vimeumaliza.
Karibu lwamugasa, imwelo, msasa, tembo, magenge na sopola.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom