Recent content by GISAMBO

  1. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Sportybet wamenidhulumu, nawashtaki wapi nipate haki yangu. Njoo hapa nawewe ujifunze yanaweza kukukuta.

    Kweli wamekuibia Kadi imetoka na ndio filimbi ya mwisho watumie clip ya match wakupe chako
  2. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Changu Changu chako chetu Muungano Gani huu

    Mmetutenga tena watu wa Bara haya mambo haya Nafasi zakwanza zili tangazwa Kwa wa Tanzania wote iweje Leo mtuweke Bench Nawakizingua huko lawama ni Kwa Tanzania nzima nachoka mimi
  3. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

    Ndio mkuu tena Sana kama wewe sio mtu wa Mpira jaribu kubet uone Sio tuu kamari linahitaji utulivu wa akili kidogo
  4. GISAMBO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni msoto gani wa kimaisha uliowahi kuupitia, uliokufanya ujue maisha si lelemama?

    Poleni sanaa wakuu wote tunapitia changamoto japo hizi zingine mmepitia ni kiboko nashukuru sijafikia level hizo za kushinda njaa kutembea milage kubwa Kwa mguu Lakini hope mmepiga hatua mngekua mnasema na mlipo Kwa Sasa kuwapa watu moyo wa upambanaji Me nishakimbia nyumba ya kupanga naingia...
  5. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Kweli ngumu nzito Ile ingekua mchongo ingesogea ata round ya 6 huko
  6. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki

    How how inamaana motor ndio izungushe engine ukubwa wa motor hapo itakaa wap au wanaweka engine ya umeme umetuacha na maswali ayana majibu
  7. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia mafuta ya Tsh 230,000/= tu!

    Hybrid hiyoo inakula vzuri Sana kitunze mzee service on time usije ukakichukia baadae
  8. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea D9 kuna sintofahamu inaendelea Tanganyika

    Umeanza vizuri umeharibu mwishoni siungi mkono hoja
  9. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach

    Tuna test container kutoka kikuu
  10. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

    Kubwa ndio zinachachuliwa sanaa
  11. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

    Dini mbaya Sana sasaiv wataanza kugeukana huko juuu tusikilizie milio tuuh
Back
Top Bottom