NMB ondoeni makato yote ya mashirika ya kifedha zinazofanyika kwenye akaunti za watu badala yake wawaelekezeni kwa waajiri. msijichukulie sheria mkononi.
NMB siku hizi sijui wamekuwaje. wana uhusiano gani Shirika la bima la taifa [NIC]? wanaingiza makato ya NIC kwenye akauti za watu badala ya kuanzia kwa mwajiri
naomba kuuliza kuwa kuna umeme wa grid ya taifa kv 400 ambao unaajengwa kutoka singida kwenda arusha katika njia inayopita umeme huo watu walishatathminia toka 2015 na mara mwisho mze bendera[ R.I.P] alisaini mwezi wa march 2017 na watu hao bado hawakulipwa fedha zao.
je kwakuwa mpango huo...
serikali yangu kwa sasa haina pesa. labda msubiri hadi tarehe 10april nitawawekea nusu. kwani kwa sasa watu hawatoi kodi na me nategemea kodi kwahiyo kwa sasa sina hela... we piga kazi
uongozi ni karama na si ubabaishaji. mwalimu akimchagua kiongozi ujue kweli nikiongozi maana amepitia kwenye michakato mingi kwelikweli. sasa wakati ubapotangaza mgororo na upande wa pili lazima utafakari kwa kina madhara na faida yake. na unapotangaza mgogoro na upande wa pili ujue kuna hatua...
jamani lisu anatoka bungeni tu nakukamatwa. tunaenda wapi? kama serikali haitaki upinzani si ifute sheria vyama vya siasa?. ninavyojua mimi mpinzani ni mtani wako. lazima utafute.namna ya kumpiku. sasa badala ya kumpambananao kisera wanawakamata. hakuna uhuru wa.katiba
hivi shule hizo zitafaulishaje kama kwanza walimu wachache, fikira shule yenye kidato cha kwanza hadi nne wapo walimu watano. kitabu kimoja wanatumia wanafunzi 10. hakuna mazingira mazuri ya mwanafunzi kusomea hakuna mabweni. badala yake wanafunzi wanatembea mile nyingi kwa siku. akifika wazazi...
laa sasa huko ulikoenda ni mbali. msd tafadhali hizo ni data mtu anatembeanazo. tafadhali mkiri tu yaishe afu ndugu yangu toa msamaha usikute wanajiandaa kukusanya hizo dawa kipindi kijacho nahisi kama utajiweka wazi utapewa kipaumbele.
salio 3,980,000/
dawa zilizoombwa 2,3420,000
dawa zilizoletwa 293,500 asilimia 7.4
hawa ni majibu waziri wa afya upo wapi. msd kanda ya kaskazini ni majibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.