Jamaa mmoja alirudi kutoa kazini ma mkewe kwa hasira akaanza kumuuliza
mke: Enhe, haya sema ulikua wapi leo siku nzima.
mume: Nilikua ofisini,
mke: mbona ulikua hupatikani hewani muda wote,
mume kwani nani kwakwambia ofisi yetu iko hewani, na kwanza
ulifikaje hewani wewe